Imeboreshwa kuendana na maboresho yaliyofanyika kwenye mfumo wa RRIMS Julai, 2025.
Imetatua changamoto zilizokuwa zimebainishwa na watumiaji katika kuangalia makosa na kuiongezea uwezo zaidi.
Imeboresha sehemu ya mawakala na wafanyakazi kufanyia kazi.
Imeongeza sehemu ya Taarifa kwa Wateja Kufatilia Mabasi- PIS
Imeongeza sehemu ya kuangalia onyo lililotolewa.
Imeongeza sehemu ya kuhakiki Tiketi za Mabasi