Meteored - Hali hewa siku 14

Ina matangazoUnunuzi wa ndani ya programu
4.7
Maoni 2.92M
Daraja la maudhui
Kila mtu
50M+
Vipakuliwa
Daraja la maudhui
Kila mtu
Ununuzi wa ndani ya Programu
Pata maelezo zaidi
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini

Kuhusu programu hii

Utabiri sahihi zaidi na kamili wa hali ya hewa! Meteored hukupa taarifa ya kina kuhusu hali ya hewa kwa siku 14 zijazo, hali ya hewa ya sasa, tahadhari za hali ya hewa, rada ya mvua, halijoto, ubora wa hewa, viwango vya chavua, unyevu na mambo mengine mengi. Kiolesura chetu ambacho ni rahisi kutumia na kinachoweza kubinafsishwa kimerahisisha njia ya kuangalia hali ya hewa katika wakati halisi, kuliko hapo awali.

Jua jinsi inavyoweza kukusaidia kujua hali ya hewa kwa urahisi zaidi!

KWA NINI UNAPASWA KUPAKUA PROGRAMU YETU?
Kinachotufanya tuwe tofauti ni uwezo wetu wa kutabiri hali ya hewa katika eneo lako mahususi. Huwa tunatumia teknolojia ya kisasa ili kukusanya data, na timu yetu ya wanametolojia huchanganua data hiyo ili kukupa utabiri sahihi na wa kisasa. Tuna uzoefu wa zaidi ya miaka 20 wa utabiri wa hali ya hewa.

Ukibiringiza chini kwenye kiolesura chetu, utagundua:

🌍 RADA YA MVUA, RAMANI NA SATALAITI
Ukiwa na rada yetu ya hali ya juu ya mvua, utaweza kufuatilia utabiri wa mvua kwa kutumia data ya uchunguzi kwa usahihi wa uhakika. Kitazamaji chetu cha ramani ya hali ya hewa kina matabaka kadhaa ya utabiri kama vile halijoto, mvua, theluji, kanieneo ya angahewa... na yote yana chembechembe zilizohuishwa zitakazokusaidia kuona mwelekeo wa upepo na mawimbi. Pia tuna picha za satalaiti kuanzia saa 12 zilizopita.

⚠️ TAHADHARI RASMI NA MAONYO
Usijali kuhusu hali mbaya zaidi za hali ya hewa, kwa sababu tunatoa tahadhari za Idara ya Utabiri wa Hali ya Hewa ya Kenya na za watoa huduma wengine rasmi wa tahadhari za hali ya hewa duniani kote. Utapokea arifa za tahadhari kutoka kwa Idara ya Utabiri wa Hali ya Hewa ya Kenya. Tutaendelea kukujulisha kuhusu hali mbaya za hewa katika eneo lako.

🍃 UBORA WA HEWA NA MIZIO
Kuna taarifa ya kina kuhusu ubora wa hewa, unyevu, upepo na hali nyingine husika za kuzingatia kwa ajili ya mizio ambayo huenda ikakuathiri. Hii itakusaidia kufanya maamuzi kuhusu shughuli zako za nje na kulinda afya yako.

☀️🌙 MACHEO NA MACHWEO NA AWAMU ZA MWEZI
Tunapenda mazingira ya asili, kwa hivyo huwa tunatoa taarifa na michoro kuhusu falaki kama vile macheo na machweo, saa za mchana zilizosalia na awamu za mwezi ili uweze kupanga wakati wa kutembelea, kuendesha baiskeli au shughuli za uvuvi.

KIOLESURA KINACHOFAA KILA MTU
Ni rahisi kutumia kwa umri wote na inajiamsha kwenye vifaa vyako vyote. Iwe wewe ni mpenzi wa mambo ya hali ya hewa au unatafuta tu njia ya haraka ya kuangalia hali ya hewa, utafurahia uzoefu rahisi na unaoweza kubinafsishwa kwa kutumia vipimo vinavyokufaa zaidi.

📱 WIJETI
Tuna wijeti zinazokuruhusu uone utabiri wa hali ya hewa moja kwa moja kwenye skrini yako ya nyumbani. Unaweza kuweka wijeti za ukubwa tofauti zenye taarifa husika kama vile halijoto ya sasa, mvua na zaidi. Unaweza kutazama hali ya hewa kwa urahisi bila kulazimika kufungua programu.

▶️ VIDEO ZA HALI YA HEWA
Gundua video za matukio ya hali ya hewa yanayoathari watu sana, pamoja na maudhui ya kisayansi ya kipekee ili yakusaidie kuelewa angahewa na hali ya hewa.

HALI YA HEWA KWENYE KIFUNDO CHA MKONO WAKO
Ikiwa una Apple Watch, unaweza kuwa na programu yetu kwenye mkono wako. Unaweza kuangalia ikiwa mvua itanyesha mahali ulipo au hata kuongeza vipengele kwenye saa yako.

🗺️ DATA YA ULIMWENGU
Pata utabiri unaofaa zaidi wa eneo lako la sasa au utafute maeneo unayopenda kutoka kwa maeneo zaidi ya 6,000,000 kote ulimwenguni. Inapatikana katika zaidi ya nchi 110 na lugha 50.

Kwa kutumia programu hii, unakubali sera ya faragha, sheria na masharti ya Meteored.

Tusaidie kuboresha huduma kwa kutuma maswali na mapendekezo yako kwa support@meteored.com
Ilisasishwa tarehe
16 Jul 2026

Usalama wa data

Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Programu hii huenda ikaruhusu aina hii ya data ikafikiwa na washirika wengine
Mahali na Kifaa au vitambulisho vingine
Hakuna data iliyokusanywa
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha ukusanyaji wa data
Data inasimbwa kwa njia fiche inapotumwa
Data haiwezi kufutwa

Ukadiriaji na maoni

4.7
Maoni 2.83M

Vipengele vipya

Asante kwa kuamini Meteored! Usikose habari za hivi punde:
Lugha 5 mpya: Kikhmer (Kambodia), Kikyrgyz, Kilao, Kimongolia na Kitajiki.
Ubora wa hewa: Aikoni zilizohuishwa kwa muonekano wa wazi na rahisi zaidi kuelewa.
Tunakujulisha kuhusu matukio muhimu zaidi kwa eneo lako. Utabiri unatokana na ECMWF. ©Meteored
Daraja la maudhui
Kila mtu
Ununuzi wa ndani ya Programu
Pata maelezo zaidi

Usaidizi wa programu

Nambari ya simu
+34968485304
Kuhusu msanidi programu
ALPRED SL
support@meteored.com
CALLE MAYOR (ALMENDRICOS) 46 30893 LORCA Spain
+34 968 48 53 04

Zaidi kutoka kwa Meteored

Programu zinazolingana