Kandanda

Contains Ads

App ya kandanda, kama ilivyo tovuti ya kandanda nia yake ni moja tu ambayo ni kukusanya taarifa zote zinazohusiana na mpira wa miguu, na kuziwasilisha kwa wasomaji wetu kutoka katika vyanzo rasmi kieweledi na kwa mujibu wa sheria za nchi.

Lengo kuu muda wote ni tovuti kuwa sehemu ya habari zote zinazohusiana na mpira wa miguu Tanzania na Duniani, ikiwa pamoja na uchambuzi wa kina bila kusahau matukio yote yanayohusiana.

Kuwafikia wasomaji wetu katika njia zote ni moja kati ya madhumuni yetu pia , hii ikiwa na maana kuwafikia wanaosoma kupitia Simu, Komputa na hapo baadae katika machapisho.

Waandishi wetu wanawasilisha uchambuzi na mawazo yao katika soka la Tanzania na Nje unaweza kuwa sio msimamo wa tovuti, lakini msimamo rasmi wa tovuti utakuwa katika sehemu ya Tahariri.

Kwa maelezo zaidi au Malalamiko kuhusu makala au uandishi wetu, usisite kuwasiliana nasi kupitia anuani yetu.
Read more
Collapse
Loading…

What's New

Soma habari za mpira wa miguu moja kwa moja kiganjani kwako.
Read more
Collapse

Additional Information

Updated
July 15, 2019
Size
3.3M
Installs
100+
Current Version
1.0
Requires Android
4.4 and up
Content Rating
Everyone
Permissions
Offered By
GALACHA Co. Ltd
©2021 GoogleSite Terms of ServicePrivacyDevelopersAbout Google|Location: United StatesLanguage: English (United States)
By purchasing this item, you are transacting with Google Payments and agreeing to the Google Payments Terms of Service and Privacy Notice.