Content rating
Teen
1K+
Downloads
Content rating
Teen
Diverse Content: Discretion Advised
Users Interact, Unrestricted Internet
Learn more
Screenshot image
Screenshot image
Screenshot image

About this app

KenteXa ni mahali pamoja pa mazungumzo, biashara na usafiri wa mizigo Tanzania.

NUNUA
- Tafuta bidhaa, huduma na maduka karibu nawe.
- Agiza bila kufungua akaunti kwanza: weka jina na namba ya simu, thibitisha kwa SMS, oda inakwenda.
- Lipa unapopokea au kwa Lipa Namba ya muuzaji.

UZA TENA UPATE FAIDA
- Chagua bidhaa za maduka, weka bei yako juu ya bei ya duka, shiriki kiungo kwenye WhatsApp Status.
- Mteja akinunua, duka linafikisha mzigo na kukulipa faida yako.
- Huhitaji duka wala mtaji.

TUMA MZIGO POPOTE
- Ofisi za mizigo na mawakala wanashindana kukuhudumia.
- Namba moja ya kufuatilia kutoka kwa mtumaji hadi kwa mpokeaji.

BIASHARA YAKO
- Ukurasa wa biashara, bidhaa, oda, ankara na risiti.
- POS ya bure kwa duka lako, stoo na madeni.
- Inbox moja ya wateja wako wote.

JUMUIYA
- Fuata biashara na watu, jiunge na jumuiya za Biashara, Kilimo, Usafiri, Teknolojia na zaidi.

KenteXa haishiki pesa zako: unamlipa muuzaji au ofisi moja kwa moja.
Nunua, uza tena upate faida, tuma mzigo na ongea na biashara za Tanzania.
Updated on
Nov 10, 2026

Data safety

Safety starts with understanding how developers collect and share your data. Data privacy and security practices may vary based on your use, region, and age. The developer provided this information and may update it over time.
  • No data shared with third parties
    Learn more about how developers declare sharing
  • This app may collect these data types
    Location, Personal info, and Device or other IDs
  • Data isn’t encrypted
  • You can request that data be deleted

What’s new

Bishoo is now KenteXa: buy, resell for profit, send parcels anywhere and talk to businesses.
Content rating
Teen
Diverse Content: Discretion Advised
Users Interact, Unrestricted Internet
Learn more

App support

Phone number
+255788075633
About the developer
kened dezider francis
jumahsaa@gmail.com
keko magurumbasi temeke Dar es salaam 00000 Tanzania

Similar apps