Apu ya Biblia ya Watoto

278,710

Apu ya Biblia ya Watoto ndio mwanachama mpya katika jamii ya apu za YouVersion Inapatikana sasa kwa simu za Android, Apu ya Biblia ya watototo daima haitozwi chochote.

Kwa njia ya maingiliano na michoro mizuri, watoto wanachunguza zile hadithi kubwa za Biblia. Apu ya Biblia ya Watoto imeundwa kwa uzoefu uliojaa furaha ili kuwahamasisha watoto kurudi tena na tena. Ni mwanzo wa maisha yenye upendo wa Neno la Mungu milele.

• Uongozi rahisi ya watoto
• vielelezo vyenye rangi
• michoro inayoamrishwa kwa kugusa
• maudhui shirikishi yanayoleta maisha katika Biblia
• shughuli zenye furaha zilizoundwa kuwasaidia watoto kukumbuka
• changamoto maalum zinazowawezesha watoto kupata zawadi

LifeChurch.tv; OneHope.

Faragha yako kwenye ANDROID
* Apu ya Biblia ya watoto inaomba idhini ya kusoma/kuandika katika kadi yako ya SD kwa sababu hapo ndipo apu inahifadhi hadithi unazochagua kupakua kwenye kifaa chako.
* Apu ya Biblia inaomba idhini kufikia orodha ya akaunti kwenye kifaa chako kusaidia kutuma taarifa kwa matoleo ya zamani ya Android.
* Eneo: wataalamu wetu wanatumia ukaribu wa maeneo kutusaidia kujifunza ni wapi apu yetu ina umaarufu. Habari hii inatumika kwa ujumla, na si kwa mtu binafsi.
* Hatuwezi kuuza maelezo ya kibinafsi unayotupa, wala kukushirikisha bila idhini yako. Unaweza kusoma sera zetu za faragha hapa: http://youversion.com/privacy.

Ungana na YouVersion
• Tupende katika Facebook: http://facebook.com/youversion
• Tufuate katika Twitter: http://twitter.com/youversion
• Fahamu kinachoendelea sasa katika blogi yetu: http://blog.youversion.com
Endelea kusoma
Kunja
4.3
Jumla ya 278,710
5
4
3
2
1
Inapakia…

Mambo Mapya

Sasa inapatikana katika Kilithuania, Kibarma cha Myanmar na Kipunjabi. Badilisha lugha chini ya Mipangilio, Lugha.
Endelea kusoma
Kunja

Maelezo ya Ziada

Imesasishwa
17 Agosti 2020
Ukubwa
50M
Usakinishaji
10,000,000+
Toleo la Sasa
2.32
Inahitaji Android
4.1 na mapya zaidi
Daraja la Maudhui
Inauzwa na
Life.Church
©2020 GoogleSheria na Masharti ya TovutiFaraghaWaendelezajiKuhusu Google|Mahali: MarekaniLugha: Kiswahili
Kwa kununua bidhaa hii, unatumia Google Payments na unakubali Sheria na Masharti na Ilani ya Faragha ya Google Payments.