BongoSwaggz - Habari na Burudani Tanzania

Contains Ads

Install App Hii Maalumu Kabisa Uwe Karibu na Habari Pia Burudani Kibao kutoka Tanzania na Duniani Kote. 👍

Mengine Kibao ni kama:

📱 BongoSwaggz inakuletea stori za udaku na habari za mastaa wa bongo na nje.

✓ Pia utapata videos kali za muziki, mahojiano ya wasanii na watu mashuhuri na vingine vingi uvipendavyo 📺

✓ Habari za siasa na matukio mbalimbali yanayotokea ndani na nje ya Tanzania.

✓ Jifunze pia mbinu za mapenzi & mahusiano 💖 bila kusahau vituko/vichekesho na habari za michezo ⚽️

✓ Pia unaweza kupata nyimbo mpya za bongoflava na burudani zote kwa kiswahili na taarifa kuhusu filamu na sanaa 📺

✓ Sikiliza Radio 📻 uzipendazo kutoka ndani na nje ya Tanzania BURE kabisa.
Read more
Collapse
4.3
332 total
5
4
3
2
1
Loading...

What's New

•App yako pendwa imeboreshwa sana kwa sasa ili kukupa Uhondo wa Habari na Burudani kwa umakini zaidi.
• Online Radio - Sikiliza Radio uzipendazo za Tanzania na Nje.
• Sharing Buttons - Sasa unaweza kushare post unayopenda marafiki zako waisome kwa kushare, Facebook, WhatsApp, Twitter , Google+ etc.
• Utaweza kupata Notification kwa kila post mpya zinazowekwa kwenye App, pia unaweza kubadili setting kuchagua upate Notification baada ya Muda gani.
• Sasa Unaweza Kuacha Comment Kwenye Post Yoyote.
Read more
Collapse

Additional Information

Updated
April 18, 2018
Size
4.8M
Installs
100,000+
Current Version
1.1.1
Requires Android
4.1 and up
Content Rating
Everyone
Permissions
Offered By
Bongo Swaggz Media
©2019 GoogleSite Terms of ServicePrivacyDevelopersArtistsAbout Google|Location: United StatesLanguage: English (United States)
By purchasing this item, you are transacting with Google Payments and agreeing to the Google Payments Terms of Service and Privacy Notice.