Michongo Tanzania ni Application inayokuwezesha kuuza na kununua bidhaa au huduma kwa bei ya punguzo popote ulipo Tanzania. Lengo letu ni kuwa mtandao namba moja kwa ajili ya manunuzi ya bidhaa na huduma kwa njia ya mtandao.

Michongo inauza bidhaa na huduma zilizo kwenye punguo tu, Hivyo ni sehemu ya kwanza kutembelea kabla haujaenda dukani kununua bidhaa.


Kwenye Michongo, kila siku kuna mapunguzo lukuki, jukumu ni lako kuweza kufaidi;

Kwenye Michongo unaweza;

• Kununua bidhaa zilizo kwenye punguzo kwa njia ya mtandao
• Kutangaza bidhaa au huduma zilizo kwenye punguzo (offers)
• Kununua na kulipa kwa awamu (Wekesha)
• Kuingiza kipato kwa kila Mchongo utakaoshare na marafiki kwenye mitandao jamii
• Kutambulisha biashara kwa wateja kiurahisi zaidi
•Okoa muda kwa kununua vitu online na kutumiwa popote ulipo
•Okoa kipato kwa kununua bidhaa zilizo kwenye bei ya punguzo
• Fuatilia mapunguzo yaliyo karibu nawe (Nearest Michongo)

Acha kuchafua mji kwa matangazo mabarabarani kila unapotaka kutoa punguzo, tumia michongo App.
Read more
4.8
18 total
5
4
3
2
1
Loading...

What's New

Kwenye toleo hili, tumeboresha mfumo na ufanyaji kazi;
-Matumizi ya QR code kwenye orer confirmation
-Mteja kuwa na uwezo wa kucancel au kurudisha mzigo
-Muuzaji sasa ana uwezo wa kukubali au kukataa cancel / return
-Wauzaji kuwa na uwezo mzuri wa kufuatilia mauzo
-Mabadiliko ya mfumo wa notification
-Kuongezwa kwa namba ya simu kwenye message inayoenda kwa mnunuzi
-Kubadilishwa kwa mfumo wa order
-Maboresho mengine ya kimfumo
Read more

Additional Information

Updated
March 19, 2018
Size
8.9M
Installs
500+
Current Version
4.0.0
Requires Android
4.1 and up
Content Rating
Everyone
Interactive Elements
Shares Location, Digital Purchases
Permissions
Offered By
Dudumizi Technologies
Developer
3rd Floor, Shamo Park House, Mbezi Beach, Dar es Salaam, Tanzania
©2018 GoogleSite Terms of ServicePrivacyDevelopersArtistsAbout Google|Location: United StatesLanguage: English (United States)
By purchasing this item, you are transacting with Google Payments and agreeing to the Google Payments Terms of Service and Privacy Notice.