TanzMED

Contains Ads

TanzMED ni jukwaa la Afya linalokuwezesha kupata maarifa na taarifa za Afya kwa ufasaha kutoka kwa wataalamu waliobobea kwenye fani ya Afya.

Jukwaa hili linakuwezesha kusoma makala za Afya, kuuliza maswali ya afya, kushiriki kwenye mjadala ya Afya, kujfunza kwa njia ya kusikiliza, kupata orodha ya huduma za Afya nchi nzima na mengine mengi.

Lengo letu kuu, ni kuhakikisha TanzMED inakuwa kituo pekee ambacho unaweza kupata kila kitu kwa umoja wake.

Kumbuka, TanzMED haitoi tiba ya online, bali inakuwezesha kupata ushauri kutoka kwa wataalamu wa fani mbalimbali za Afya ambao watakupa muongozo utakaokusaidia kwenye kufanya maamuzi ya wapi uende kwa ajili ya tiba kamili ya Afya.
Read more
4.8
4 total
5
4
3
2
1
Loading...

What's New

Tumeongeza intro kwenye kurasa ya kuingia au kujisajili
Kuondoa makosa ya maneno kwenye kujisajili
Sasa unaweza kuanzisha mijadala ya afya kutoka kurasa ya mbele ya klabu
Uwezo wa kuchagua kundi la mjadala
OTP code inaingizwa moja kwa moja
Tumeongeza kitufe cha Tuma kwenye OTP
Kurekebisha linki ya nimesahau password
Kuhariri baadhi ya maneno yaliyokosewa
Kuboresha mfumo wa makosa yanayotokana na matumizi
Maboresho ya kimfumo ndani kwa ndani (in the hood)
Read more

Additional Information

Updated
May 17, 2018
Installs
100+
Current Version
1.0.3
Requires Android
4.4 and up
Content Rating
Everyone
Interactive Elements
Users Interact, Shares Location
Permissions
Offered By
Dudumizi Technologies
Developer
3rd Floor, Shamo Park House, Mbezi Beach, Dar es Salaam, Tanzania
©2018 GoogleSite Terms of ServicePrivacyDevelopersArtistsAbout Google
By purchasing this item, you are transacting with Google Payments and agreeing to the Google Payments Terms of Service and Privacy Notice.