Hadithi Hadithi Kiswahili stories for children

Kiswahili reading and writing app for children aged 5-7

Hadithi Hadithi! Hadithi njoo! Teaching children to read
Our new literacy app for 5 to 7-year-olds, Story Time! includes dozens of stories written by Kenyan teachers, illustrated by artists across East Africa, and read by actors and celebrities, such as Caroline Mutoko.

Give your child a head start in reading and writing
Each story includes comprehension, spelling and letter-tracing exercises to give your child key writing skills. Independent studies have shown our apps accelerate your child's progress 4 times faster than traditional methods.

Aligned to the Curriculum
Covers the entire curriculum in Kiswahili in Standard 1, with stories and vocabulary matching the syllabus topics for each week of the school year.

For us by us
Kenyan stories and landscapes illustrated and voiced by East African artists, and developed by East African techies and designers.


Kufunza watoto kusoma
Apu yetu ya kusoma na kuandika kwa watoto wa miaka mitano na saba, Story Time! inahusisha hadithi kadhaa zilizoandikwa na walimu kutoka Kenya, picha zimetengenezwa watu kutoka Afrika Mashariki na kisha kusomwa na waigizaji na watu maarufu kama vile Caroline Mutoko.

Mpatie mtoto wako kianzio katika kusoma na kuandika
Kila hadithi imebeba mazoezi ya Ufahamu, kuendeleza maneno na kuchora herufi, ili kumpatia mtoto wako ustadi kamili wa uandikaji/uandishi. Watoto kusoma pekeyao imeonyesha kuongezeka kwa ustadi wao mara nne zaidi ya mbinu za kale za usomaji.

Inaambatana na Utaratibu wa Masomo
Inahusu utaratibu wote wa masomo katika Kiingereza Gredi ya kwanza, ikiwemo hadithi na maneno magumu au msamiati kulingana na mada zote za silabasi kwa kila wiki mfululizo wa mwaka katika shule.

Na sisi, kwa sisi
Hadithi za kikenya zimeandikwa na sauti kunakiliwa na waigagi wa Afrika Mashariki, na kuundwa na walimu na wanamiundo pia kutoka Afrika Mashariki.
Read more
Collapse
3.9
27 total
5
4
3
2
1
Loading…

What's New

Login sign up Crash fixed
Read more
Collapse

Additional Information

Updated
June 19, 2020
Size
46M
Installs
10,000+
Current Version
1.9.1 Beta01
Requires Android
4.1 and up
Content Rating
Everyone
Interactive Elements
In-App Purchases
Permissions
Offered By
eLimu eLearning
Developer
PO Box 18655-00500, Nairobi Kenya Bishop Magua Centre, George Padmore Lane, Kilimani Nairobi
©2020 GoogleSite Terms of ServicePrivacyDevelopersAbout Google|Location: United StatesLanguage: English (United States)
By purchasing this item, you are transacting with Google Payments and agreeing to the Google Payments Terms of Service and Privacy Notice.