Gazeti

Contains Ads
·
Offers in-app purchases

Kupata habari imekuwa ni rahisi sana siku hizi, hii inatokana na kuwepo kwa vyanzo vingi vya habari kiasi kwamba ni lazima utaweza kupata habari kupitia vyanzo hivyo. Lakini wote tunajua ni ngumu sana kupata habari kwa ukamilifu kwa kuwa haiwezekani kutembelea tovuti zote hizo kwa pamoja ndio maana tunakuletea App ya Gazeti.

Gazeti ni App itakayokupa uwezo wa kusoma habari mbalimbali kwa urahisi kutoka tovuti mbalimbali, Mbali na tovuti app ya Gazeti inakupa uwezo wa kuangalia Video pamoja na kusikiliza Radio Mbalimbali za nchini Tanzania.

Gazeti App pia inakupa urahisi wa kuangalia TV mbalimbali za hapa nchini Tanzania na nje ya nchi, kifupi ni kwamba Gazeti App inakupa habari zote za Ndani ya Tanzania kwa haraka na kwa urahisi. Tunategemea kuongeza vyanzo vingine mbalimbali hivyo hakikisha unapakua app ya Gazeti sasa.

* Unaweza kusoma Habari Kutoka Tovuti kubwa za Habari Tanzania.
* Unaweza Kuangalia Mbalimbali Habari Kutoka Vyanzo vikubwa vya Habari Tanzania.
* Unaweza kusikiliza Radio na kuangalia TV za ndani na nje ya Tanzania.
* Na mengine mengi.....
Read more
Collapse
4.4
10 total
5
4
3
2
1
Loading...

What's New

Ukurasa mpya wa Idhaa ya Kiswahili
- BBC Swahili
- RFI Swahili
- VOA Swahili
- NHK Japan Swahili
Radio Mpya za Tanzania zimeongezwa
- Abood FM
- Planet FM
- A FM
- Storm FM
Read more
Collapse

Additional Information

Updated
March 16, 2019
Size
6.8M
Installs
1,000+
Current Version
1B21
Requires Android
4.1 and up
Content Rating
Interactive Elements
Users Interact
In-app Products
$0.99 per item
Permissions
Offered By
Teeknet
Developer
P.O.Box 31509 Dar es Salaam, Tanzania
©2019 GoogleSite Terms of ServicePrivacyDevelopersArtistsAbout Google|Location: United StatesLanguage: English (United States)
By purchasing this item, you are transacting with Google Payments and agreeing to the Google Payments Terms of Service and Privacy Notice.