Sasa piga simu kwa nambari yoyote duniani kutoka kwenye programu yako ya Hangouts bila kutumia mpango wa dakika za simu yako. Simu nyingi za kwenda Marekani na Kanada hazilipishwi!
Pakua na usakinishe Kipiga Simu cha Hangouts ili uanze kupiga simu katika programu ya Hangouts. Baada ya kusakinisha, unaweza kufikia vipengele vyote vya simu ya sauti moja kwa moja kutoka Hangouts au utumie Kipiga Simu cha Hangouts kama njia ya mkato ya kupiga simu kutoka skrini ya kipiga simu kilicho kwenye Hangouts.
● Piga simu kwa kutumia data kutoka programu ya Hangouts - piga simu kwa nambari yoyote, zikiwemo simu za nyaya.
● Tumia Kitambulisho cha Simu ya Nje - watu unaowapigia wataona nambari yako iliyothibitishwa utakapowapigia (hakuna kuonekana tena kama Asiyejulikana!)
● Unganisha na nambari yako ya Google Voice ili upige simu za VOIP katika programu ya Hangouts kutoka nambari yako ya Google Voice.
Maelezo: Gharama za mtoa huduma za simu za mkononi na ISP zinaweza kutozwa kwa matumizi ya data. Simu za sauti kwa watumiaji wa Hangouts hazilipishwi, lakini simu nyinginezo zinaweza kulipishwa. Angalia viwango vyetu vya malipo ya kupiga simu katika http://www.google.com/hangouts/rates.

Ukaguzi
Nini Kipya
0.4
● Kitambulisho cha Simu ya Nje - watu utakaowapigia simu wataona nambari yako iliyothibitishwa utakapowapigia simu (hakuna kuonekana tena kama Asiyejulikana!)
● Urahisi wa kutumia ulioboreshwa - kamilisha kupiga simu kupitia Simu za Hangouts kutoka programu zaidi
● UI muhimu mpya ya Kipiga simu