Google Tafsiri

5,816,171

• Tafsiri kati ya lugha 103 kwa kucharaza
• Gonga ili Utafsiri: Nakili tu maandishi katika programu yoyote ili upate tafsiri
• Nje ya mtandao: Tafsiri lugha 59 hata bila Intaneti
• Tafsiri ya papo hapo kwenye kamera: Tumia kamera yako kutafsiri maandishi papo hapo katika lugha 38
• Hali ya Kamera: Piga picha za maandishi upate tafsiri za ubora wa hali ya juu katika lugha 37
• Hali ya Mazungumzo: Tafsiri ya papo hapo ya usemi kutoka na kwenda lugha husika katika lugha 32
• Mwandiko wa Mkono: Chora herufi badala ya kutumia kibodi katika lugha 93
• Kitabu cha Tafsiri: Weka nyota na uhifadhi tafsiri ili uzirejelee baadaye katika lugha yoyote

Tafsiri kati ya lugha zifuatazo zinawezekana:
Kiafrikana, Kiaislandi, Kiajemi, Kialbania, Kiamhariki, Kiarabu, Kiarmenia, Kiayalandi, Kiazebaijani, Kibaski, Kibelarusi, Kibengali, Kibosnia, Kibulgaria, Kiburma, Kicheki, Kichewa, Kichina (cha Kitamaduni), Kichina (Rahisi), Kidenmaki, Kiebrania, Kiesperanto, Kiestonia, Kifaransa, Kifilipino, Kifini, Kifrisia, Kigaeli-Skoti, Kigalisia, Kigiriki, Kigujarati, Kihausa, Kihawaii, Kihindi, Kihispania, Kihmong, Kiholanzi, Kihungari, Kiigbo, Kiindonesia, Kiingereza, Kiitaliano, Kijapani, Kijava, Kijerumani, Kijiojia, Kikambodia, Kikannada, Kikatalani, Kikazakh, Kikirgizi, Kikorea, Kikorsika, Kikroeshia, Kikurdi, Kilao, Kilasembagi, Kilatini, Kilatvia, Kilithuania, Kimalagasi, Kimalayalam, Kimalei, Kimalta, Kimaori, Kimarathi, Kimasedonia, Kimongolia, Kinepali, Kinorwe, Kipashto, Kipolandi, Kipunjabi, Kireno, Kiromania, Kirusi, Kisamoa, Kisebuano, Kiserbia, Kishona, Kisindhi, Kisinhala, Kislovakia, Kislovenia, Kisomali, Kisotho, Kisunda, Kiswahili, Kiswidi, Kitajiki, Kitamil, Kitelugu, Kithai, Kituruki, Kiukrani, Kiurdu, Kiuzbeki, Kivietnam, Kiwelshi, Kixhosa, Kiyidi, Kiyoruba, Kizulu, Krioli ya Haiti

Taarifa ya Ruhusa
Google Tafsiri inaweza kuomba ruhusa ya kufikia vipengele vifuatavyo:
• Maikrofoni kwa ajili ya tafsiri ya kutamka
• Kamera kwa ajili ya kutafsiri maandishi kupitia kamera
• SMS kwa ajili ya kutafsiri ujumbe
• Hifadhi ya nje kwa ajili ya kupakua data ya kutafsiri nje ya mtandao
• Akaunti na vitambulisho vya kuingia katika kifaa na kusawazisha kwenye vifaa vyote
Endelea kusoma
4.4
Jumla ya 5,816,171
5
4
3
2
1
Inapakia...

Mambo Mapya

Tafsiri bora zaidi za nje ya mtandao ukitumia faili za lugha zilizoimarishwa
Endelea kusoma

Maelezo ya Ziada

Imesasishwa
5 Septemba 2018
Ukubwa
Hutofautiana kulingana na kifaa
Usakinishaji
500,000,000+
Toleo la Sasa
Hutofautiana kulingana na kifaa
Inahitaji Android
Hutofautiana kulingana na kifaa
Daraja la Maudhui
Inauzwa na
Google LLC
Msanidi programu
1600 Amphitheatre Parkway, Mountain View 94043
©2018 GoogleSheria na Masharti ya TovutiFaraghaWaendelezajiWasaniiKuhusu Google|Mahali: MarekaniLugha: Kiswahili
Kwa kununua bidhaa hii, unatumia Google Payments na unakubali Sheria na Masharti na Ilani ya Faragha ya Google Payments.