Biashara Yangu kwenye Google

128,748

Kila siku, mamilioni ya watu hutafuta biashara kama yako kwenye Google. Tangaza Muhtasari wa Biashara yako kwenye Google na ushawishi wanaotafuta kuwa wateja wako kwa kutumia programu ya Biashara Yangu kwenye Google.
• Jibu maoni, ujumbe kutoka kwa wateja wako na uangalie wanaofuatilia biashara yako kwenye Kichupo cha wateja.
• Fanya mabadiliko kwenye Muhtasari wa Biashara yako kwenye Google na uone mabadiliko haya katika muda halisi kwenye Google.
• Pakia picha, unda ofa zinazovutia na ushiriki mambo ambayo hufanya biashara yako iwe ya kipekee.
• Angalia kwa mtazamo mmoja kiwango na jinsi wateja wako wanavyochangamkia Muhtasari wa Biashara yako kwenye Google ukitumia Kichupo cha mwanzo cha programu yako.
• Pokea arifa katika muda halisi ili ujue mteja anapochangamkia biashara yako kwenye Google. Angazia unachokipenda na upumzike ukijua kwamba Biashara Yangu kwenye Google inafanya kazi ya ziada ili kukusaidia kupata wateja zaidi.
• Dhibiti biashara nyingi ukitumia dashibodi moja na ualike wengine kudhibiti biashara yako.

Ilani ya Ruhusa
• Mahali: Panahitajika ili utumie mahali ulipo kama mahali ilipo biashara yako
• Anwani za mawasiliano: Zinahitajika ili kukamilisha kiotomatiki anwani za barua pepe unapowaalika wengine kudhibiti biashara yako na kuweka Nafasi kwa niaba ya Wateja walio kwenye anwani zilizo katika kifaa chako
• Hifadhi: Inahitajika ili kufikia picha zilizopigwa katika mahali ilipo biashara yako
Endelea kusoma
Kunja
4.5
Jumla ya 128,748
5
4
3
2
1
Inapakia...

Mambo Mapya

Ni rahisi kuvutia wateja wapya
• Kitufe cha machapisho - sehemu moja ya kuongeza machapisho na picha kwa urahisi kwenye Maelezo ya Biashara yako
• Kichupo cha wasifu - kagua picha, machapisho na maelezo ya Biashara katika sehemu moja

Njia mpya za kuwasiliana na wateja:
• Kichupo cha wateja - sehemu ya kuwasiliana na wateja kwenye Google
• Ujumbe - jibu ujumbe kutoka Maelezo ya Biashara yako ukiwa ndani ya programu
• Wanaofuata - angalia na uwawekee machapisho, wanaokufuata kwenye Google
Endelea kusoma
Kunja

Maelezo ya Ziada

Imesasishwa
19 Agosti 2019
Ukubwa
7.8M
Usakinishaji
10,000,000+
Toleo la Sasa
3.11.0.263262320
Inahitaji Android
5.0 na mapya zaidi
Daraja la Maudhui
Inauzwa na
Google LLC
Msanidi programu
1600 Amphitheatre Parkway, Mountain View 94043
©2019 GoogleSheria na Masharti ya TovutiFaraghaWaendelezajiWasaniiKuhusu Google|Mahali: MarekaniLugha: Kiswahili
Kwa kununua bidhaa hii, unatumia Google Payments na unakubali Sheria na Masharti na Ilani ya Faragha ya Google Payments.