Biashara Yangu kwenye Google

68,270

Fahamisha ulimwengu kuhusu biashara yako kwenye Huduma ya Tafuta na Google na Ramani. Ukitumia Biashara Yangu kwenye Google, unaweza kuthibitisha maelezo ya biashara yako, kudhibiti maoni ya wateja wako, kupata maarifa maalum kuhusu jinsi wateja wako wanavyoshirikiana na biashara yako mtandaoni na kukuza biashara yako.
- Sasisha jina la biashara, anwani na saa
- Pakia picha za biashara yako
- Dhibiti na ujibu maoni ya wateja
- Maarifa maalum kuhusu idadi ya watu wanaotafuta biashara yako na mahali walipo
- Pokea arifa wateja wako wanapozungumzia biashara yako
- Dhibiti biashara nyingi kwenye dashibodi moja, na ualike wengine kudhibiti biashara yako

Ilani ya Ruhusa
- Mahali: Panahitajika ili utumie mahali ulipo kama mahali ilipo biashara yako
- Anwani: Zinahitajika ili kukamilisha kiotomatiki anwani za barua pepe unapowaalika wengine kudhibiti biashara yako
- Hifadhi: Inahitajika ili kufikia picha zilizopigiwa mahali iliko biashara yako
Endelea kusoma
4.4
Jumla ya 68,270
5
4
3
2
1
Inapakia...

Mambo Mapya

- Hitilafu za kuacha kufanya kazi kwa muda unapochapisha faili kubwa za picha zimerekebishwa
- Kuchapisha upya chapisho lililopitwa na wakati
- Kurekebishwa kwa hitilafu na maboresho mengine
Endelea kusoma

Maelezo ya Ziada

Imesasishwa
20 Juni 2018
Ukubwa
Hutofautiana kulingana na kifaa
Usakinishaji
5,000,000+
Toleo la Sasa
2.17.0.196901749
Inahitaji Android
4.4 na mapya zaidi
Daraja la Maudhui
Inauzwa na
Google LLC
Msanidi programu
1600 Amphitheatre Parkway, Mountain View 94043
©2018 GoogleSheria na Masharti ya TovutiFaraghaWaendelezajiWasaniiKuhusu Google|Mahali: MarekaniLugha: Kiswahili
Kwa kununua bidhaa hii, unatumia Google Payments na unakubali Sheria na Masharti na Ilani ya Faragha ya Google Payments.