Gboard ina kila kitu unachopenda kuhusu Kibodi ya Google — kibodi yenye kasi na ya kutegemewa, Kuandika kwa Kutelezesha Kidole, Kuandika kwa kutamka na mengi—pamoja na Huduma ya Tafuta na Google iliyojumuishwa kwenye programu. Huhitaji kubadilisha kati ya programu; tafuta tu na ushiriki moja kwa moja kutoka kwenye kibodi yako.
Gboard pia ina utafutaji wa emoji ili kukusaidia kupata emoji kwa haraka pamoja na utafutaji wa GIF na uandishi kwa lugha nyingi ili kukuruhusu ubadili lugha mara moja.
Kuandika kwa kutelezesha kidole — Andika kwa haraka kwa kutelezesha kidole chako kutoka herufi moja hadi herufi nyingine
Kuandika kwa kutamka — Andika kwa urahisi kwa kutamka maneno popote ulipo
Tafuta na ushiriki kitu chochote kutoka Google:
• Maduka na mikahawa karibu nawe
• Video na picha
• Utabiri wa hali ya hewa
• Makala ya habari
• Alama za michezo
• Na kitu chochote ambacho unaweza kutafuta kwenye Google
Utafutaji wa Emoji — Tafuta emoji unayotaka kwa haraka
GIF — Tafuta na ushiriki GIF inayowasilisha ujumbe wako halisi. Uwezo wa kushiriki GIF unapatikana katika programu ambazo zimetekeleza uwezo wa kutumia kibodi ya picha pekee.
Kuandika katika lugha nyingi — Hakuna kubadili tena kati ya lugha wewe mwenye. Gboard itasahihisha kiotomatiki na kupendekeza kutoka kwenye lugha yoyote ambayo umewasha, bila wewe kuhitaji kugonga kitufe cha kimataifa. Hakuna kubadilisha katiya lugha wewe mwenye. Gboard itasahihisha kiotomatiki na kupendekeza kutoka kwenye lugha yoyote ambayo umewasha, bila wewe kuhitaji kugonga kitufe cha dunia.
Vidokezo vya kutumia:
• Bonyeza na ushikilie Enter ili uchague miongoni mwa mamia ya emoji katika programu yoyote. (Android 4.4+).
• Inajifunza kadri unavyondika: Hakuna haja ya kuongeza maneno mwenyewe kwenye kamusi ya binafsi. Andika neno mara moja na unaweza kuliandika kwa kutelezesha kidole au kulipata katika mapendekezo wakati ujao. Bonyeza pendekezo kwa muda ili uliondoe kwenye "maneno yaliyohifadhiwa" au kamusi ya kibodi.
• Sawazisha maneno yaliyohifadhiwa kwenye vifaa vyote ili uboreshe mapendekezo (ili uwashe usawazishaji nenda kwenye Mipangilio ya Gboard→ Kamusi → Sawazisha Maneno Yaliyohifadhiwa).
• Udhibiti wa kiteuzi cha ishara: Telezesha kidole chako kwenye upau wa nafasi ili usogeze kiteuzi.
• Kufuta ishara: Telezesha kidole kushoto kuanzia kwenye kitufe cha kufuta ili ufute haraka maneno mengi.
• Fanya safu mlalo ya nambari ionekane wakati wote (iwashe katika Mipangilio → Mapendeleo → Safu Mlalo ya Nambari)
• Vidokezo vya ishara: Onyesha vidokezo kwa haraka kwenye vitufe vyako ili ufikie ishara kwa kubonyeza kwa muda (washa katika Mipangilio ya Gboard → Mapendeleo → Bonyeza kwa muda ili upate ishara).
• Hali ya kutumia mkono mmoja: Kwenye simu zenye skrini kubwa, bandika kibodi upande wa kushoto au kulia kwenye skrini kwa kubonyeza kwa muda kitufe cha Enter na kuchagua emoji ya kidole gumba.
• Ishara za Haraka: Andika kutoka kitufe cha “?123” ili ubadilishe kwa muda kuwa kibodi ya ishara na uingize ishara.
• Kuweka herufi kubwa kwa haraka: Andika kwa ishara kutoka kitufe cha SHIFT hadi herufi ili uifanye iwe kubwa.
• Mandhari: Chagua mandhari yaliyo na mipaka ya kibodi au yasiyo na mipaka ili kukidhi mtindo wako.
Zaidi ya lugha 120 zinatumika.

Ukaguzi
Nini Kipya
• Kata, nakili na ubandike ili ubadilishe maandishi kwa urahisi
• Badilisha ukubwa na sehemu ya kibodi
• Lugha mpya (inaweza kutumia unukuzi): Kiasami, Kibengali, Kibodo, Kidogri, Kigujarati, Kihindi, Kikannada, Kikashmiri, Kikonkani, Kimaithili, Kimalayalamu, Kimanipuri, Kimarathi, Kinepali, Kiodia, Kipunjabi, Kisanskriti, Kisantali, Kisindhi, Kitamili, Kitelugu, Kiurdu
• Lugha mpya tulizoongeza: Kinyarwanda, Kiwarei
• Hitilafu zimerekebishwa