Zana za Ufikivu za Android

2,206,693

Zana za Ufikivu za Android ni mkusanyiko wa huduma za ufikivu ambazo zinakusaidia utumie kifaa chako cha Android bila kukitazama au kwa kutumia kifaa cha swichi.

Zana za Ufikivu za Android hujumuisha:
• Menyu ya Ufikivu: Tumia menyu kubwa iliyo kwenye skrini kufunga simu yako, kudhibiti sauti na mwangaza, kupiga picha za skrini na zaidi.
• Chagua ili Izungumze: Chagua vipengee kwenye skrini yako na usikie vikisomwa kwa sauti.
• Kipengele cha Kufikia Kupitia Swichi: Wasiliana na kifaa chako cha Android ukitumia swichi moja au zaidi au kibodi badala ya skrini ya kugusa.
• Kisoma Skrini cha TalkBack: Pata maelezo yanayotamkwa, dhibiti kifaa chako ukitumia ishara na uandike ukitumia kibodi ya skrini ya nukta nundu.

Programu ya Zana za Ufikivu za Android inahitaji Android 6 au toleo jipya zaidi. Jifunze jinsi ya kuangalia toleo lako la Android:
https://support.google.com/android/answer/7680439

Pata maelezo zaidi kuhusu kutumia Zana za Ufikivu za Android na chaguo zingine za ufikivu za Android:
http://g.co/help/androidaccessibility

Ili uanze:
1. Fungua programu ya Mipangilio ya kifaa chako.
2. Chagua Ufikivu.
3. Chagua Menyu ya Ufikivu, Kipengele cha Chagua ili Izungumze, Kipengele cha Kufikia kupitia Swichi au TalkBack.

Taarifa ya Ruhusa
• Simu: Zana za Ufikivu za Android huchunguza hali ya simu ili kuyafanya matamshi yaendane na hali yako ya kupiga simu.
• Huduma ya Ufikivu: Kwa sababu programu hii ni huduma ya ufikivu, inaweza kuchunguza shughuli zako, kuleta maudhui ya dirisha na kuona maandishi unayoandika.
Endelea kusoma
Kunja
4.2
Jumla ya 2,206,693
5
4
3
2
1
Inapakia…

Mambo Mapya

Taarifa za toleo la 8.2:
• Tumia kibodi mpya ya nukta nundu ya TalkBack kuweka maandishi kwenye skrini yako.
.Marekebisho na maboresho ya vipengele vya Chagua ili Izungumze, Kufikia Kupitia Swichi na TalkBack.
Endelea kusoma
Kunja

Maelezo ya Ziada

Imesasishwa
27 Agosti 2020
Ukubwa
Hutofautiana kulingana na kifaa
Usakinishaji
5,000,000,000+
Toleo la Sasa
Hutofautiana kulingana na kifaa
Inahitaji Android
Hutofautiana kulingana na kifaa
Daraja la Maudhui
Inauzwa na
Google Commerce Ltd
Msanidi programu
1600 Amphitheatre Parkway, Mountain View 94043
©2020 GoogleSheria na Masharti ya TovutiFaraghaWaendelezajiWasaniiKuhusu Google|Lugha: KiswahiliBei zote zinajumlisha VAT.
Kwa kununua bidhaa hii, unatumia Google Payments na unakubali Sheria na Masharti na Ilani ya Faragha ya Google Payments.