YouTube

88,828,809
Ina Matangazo

Pata programu rasmi ya YouTube kwa simu za Android na kompyuta kibao. Angalia maudhui ambayo ulimwengu unatazama -- kuanzia video maarufu za muziki hadi yanayovuma katika michezo ya video, burudani, habari na zaidi. Fuatilia vituo unavyopenda, shiriki na marafiki, na utazame kwenye kifaa chochote.

Ikiwa na usanifu mpya, unaweza kuburudika ukichunguza video unazopenda kwa urahisi na haraka zaidi kuliko awali. Gonga tu aikoni au telezesha kidole ili kubadilisha kati ya video zilizopendekezwa, vituo unavyofuatilia au akaunti yako. Unaweza pia kufuatilia vituo vyako unavyopenda, kuunda orodha za kucheza, kuhariri na kupakia video, kujieleza ukitumia maoni au kushiriki, kutuma video kwenye TV yako na zaidi – yote kutoka ndani ya programu.

PATA VIDEO UNAZOPENDA KWA HARAKA

• Vinjari mapendekezo ya binafsi kwenye kichupo cha Kwanza

• Angalia taarifa ya hivi punde kutoka vituo vyako unavyovipenda kwenye kichupo cha vituo Unavyofuatilia

• Tafuta video ulizotazama na ulizopenda kwenye kichupo cha Akaunti

UNGANA NA USHIRIKI

• Wajulishe watu unavyojihisi ukitumia unazopenda, maoni, na kushiriki

• Pakia na uhariri video zako mwenyewe zenye vichujio na muziki – yote ndani ya programu
Endelea kusoma
Kunja
4.2
Jumla ya 88,828,809
5
4
3
2
1
Inapakia…

Mambo Mapya

Ili upate maelezo kuhusu vipengele vipya, angalia nyenzo za ndani ya bidhaa na arifa zinazoshiriki maelezo na jinsi ya kutumia kipengele!
Endelea kusoma
Kunja

Maelezo ya Ziada

Imesasishwa
25 Novemba 2020
Ukubwa
Hutofautiana kulingana na kifaa
Usakinishaji
5,000,000,000+
Toleo la Sasa
Hutofautiana kulingana na kifaa
Inahitaji Android
Hutofautiana kulingana na kifaa
Daraja la Maudhui
Mwongozo wa wazazi
Mwongozo wa Wazazi Umependekezwa
Vipengele Vinavyoshirikisha
Watumiaji Hushirikiana, Ununuzi Dijitali
Inauzwa na
Google Commerce Ltd
Msanidi programu
1600 Amphitheatre Parkway, Mountain View 94043
©2020 GoogleSheria na Masharti ya TovutiFaraghaWaendelezajiKuhusu Google|Lugha: KiswahiliBei zote zinajumlisha VAT.
Kwa kununua bidhaa hii, unatumia Google Payments na unakubali Sheria na Masharti na Ilani ya Faragha ya Google Payments.