1K+
Downloads
Content rating
Everyone
Screenshot image
Screenshot image
Screenshot image
Screenshot image
Screenshot image
Screenshot image
Screenshot image
Screenshot image
Screenshot image

About this app

Kibaba ni App ya kwa ajili ya vikundi vya Vicoba, Tanzania. Ni uwanja binafsi wa kutunza kumbukumbu za wanachama na kumbukumbu za fedha za wanachama wa kikundi cha Vicoba.

App hii, pia inapatikana kwenye Mtandao kwa kutumia tovuti ya www.kibaba.co.tz kwa kutumia Kompyuta au simu yoyote yenye Internet na Kivinjari (Browser).

Ili kutumia app hii, ni lazima uwe na Simu au computer iliyounganishwa na mtandao wa internet.
Updated on
Jun 4, 2020

Data safety

Developers can show information here about how their app collects and uses your data. Learn more about data safety
No information available

What's new

Bug Fixes and new look for better experience