Loko Find ni App inayo kusaidia kupata huduma kupitia fundi au watoa huduma walio karibu na wewe. Kama wewe ni mmoja wa watu wanaotaka kupata huduma kwa haraka basi jaribu app ya Loko Find.

Kupitia App ya Loko Find utaweza kuona mafundi au watoa huduma mbalimbali na utaweza kuwapa kazi zako moja kwa moja. Pia unaweza kutangaza kazi kwa mafundi au watoa huduma mbalimbali na utaweza kupata huduma kutoka karibu na eneo ulilopo.

App ya Loko Find ni rahisi kutumia na kitu cha msingi unacho hitaji ni kutengeneza akaunti kwa kutumia barua pepe yako na baada ya hapo unatakiwa kuhakiki akaunti yako kwa kubofya link iliyopo ndani ya barua pepe tutakayo kutumia.

App hii ya Loko Find ni kwa ajili ya wateja wanao tafuta kupata huduma mbalimbali, kama wewe ni mtoa huduma kwa namna moja ama nyingine unaweza kujisajili na toleo leo Loko Find kwa ajili ya Watoa huduma.

Sifa za App ya Loko Find

» Utaweza kutangaza kazi kwa watoa huduma mbalimbali walio karibu na wewe, hii ikiwa ni bila kujali eneo ambalo utakuwa baadae.

» Chat na watoa huduma walio karibu na wewe kabla ya kuwapa kazi yoyote.

» Angalia malipo pamoja na madeni mbalimbali unayo daiwa na fundi au mtoa huduma.

» Angalia muda wa kazi kwa kutazama kazi zinazo endelea, hii ni muhimu kama umetoa kazi kwa mtoa huduma au fundi ambaye amechagua kulipwa kwa saa.

» Angalia wasifu wa mtoa huduma kabla ya kukupa huduma, hii itakusaidia kuona uwezo wa mtoa huduma, kazi za awali alizofanya na mambo mengine mbalimbali.

» Fanya booking ya huduma au fundi kwa haraka kisha fanya malipo pale kazi itakapo fanyika, kumbuka pia ni muhimu kuangalia gharama za booking za mtoa huduma.

Wasiliana Nasi

Kwa maelezo zaidi kama unataka kujua zaidi au kujua jinsi ya kutumia app ya Loko Find basi hakikisha una wasiliana nasi sasa.

Mobile : +255 739 711 233
+255 713 711 233
Email : lokofind@tanzaniatech.one
Website : http://lokofind.com
Read more
Collapse
Loading…

What's New

Fix Android:java.lang.OutOfMemoryError
Review Layout Fix
Sign Up Layout Fix
Read more
Collapse

Additional Information

Updated
February 25, 2020
Size
Varies with device
Installs
100+
Current Version
Varies with device
Requires Android
Varies with device
Content Rating
Everyone
Interactive Elements
Users Interact, Shares Location
Permissions
Offered By
Tanzania Tech Media
Developer
P.O.Box 31509 Dar es Salaam, Tanzania
©2020 GoogleSite Terms of ServicePrivacyDevelopersArtistsAbout Google|Location: United StatesLanguage: English (United States)
By purchasing this item, you are transacting with Google Payments and agreeing to the Google Payments Terms of Service and Privacy Notice.