MAKAZI

Contains Ads

MAKAZI ni mtandao mahususi Afrika Mashariki unakuletea huduma za ujenzi makazi jirani na wewe muda wote kupitia simu yako ili uweze kufanikisha ujenzi wa nyumba ya ndoto yako kwa UBORA, UHAKIKA na UNAFUU zaidi!

Fanikisha Nyumba ya Ndoto Yako Sasa!

Kupitia MAKAZI waweza pata huduma za Ramani za nyumba za kisasa, Ushauri wa haraka kutoka kwa wataalamu, Kuunganishwa na mafundi ujenzi, Kufanya makadirio ya gharama na vifaa, Kuunganishwa na wauzaji wa vifaa na viwanja vya makazi. Huduma hizi zinaendelea kuboreshwa na kusambazwa ili ziweze kuwafikia na kuwanufaisha wengi zaidi.

Baadhi ya vitu vilivyosukuma kuileta MAKAZI kwako ni kutokana na watu wengi kukosa msaada wa haraka wa wataalamu makazi hivyo hujikuta wakifanya ujenzi wao ktk kiwango duni na mara nyingine kutumia fedha nyingi zaidi ya inavyotakitawa. Tukitumia nguvu ya mtandao twaweza wafikia watu wengi zaidi na wakapata taarifa nzuri zaidi zitakazo wasaidia kufanikisha ujenzi wao ktk ubora mzuri. Sisi tunakupa HAMASA ya ujenzi wa nyumba ya ndoto yako!

Anza kufanikisha nyumba ya ndoto yako sasa!

Ramani za Nyumba, Makadirio, Ushauri, Mafundi, Vifaa, Viwanja…!
Read more
Collapse
Loading…

What's New

Fast search feature
Questions and answers
Fix broken links
Read more
Collapse

Additional Information

Updated
January 20, 2020
Size
4.0M
Installs
10,000+
Current Version
3.7.0
Requires Android
4.1 and up
Content Rating
Everyone
Permissions
Offered By
Netwebsites
©2022 GoogleSite Terms of ServicePrivacyDevelopersAbout Google Play|Location: United StatesLanguage: English (United States)
By purchasing this item, you are transacting with Google Payments and agreeing to the Google Payments Terms of Service and Privacy Notice.