Mapishi ya Ramadhani (Kitabu)

Translate the description into English (United States) using Google Translate?Translate the description back to Swahili

Ni kitabu cha Mapishi Mbalimbali kilichokusanya jinsi ya kupika vyakula mbalimbali vitakavyokufanya kufurahia ndani na nje ya Msimu wa Ramadhani. Kitabu hiki kimebeba mapishi ambayo ni MATAMU na RAHISI KUANDAA.
Baadhi ya Mapishi Yaliyomo katika kitabu hiki ni kama

Muhogo wa nazi na Mafuta
Vipopoo na Matobosho
Ndizi mzuzu, Mbivu nk
Viazi nyama, viazi vitamu,viazi Maharage, kuku nk
Tambi za nyanya, Tambi za Sukari Nk
Uji wa Ulezi, Uji Nazi, nk
Juisi ya karoti, Maembe, Tango
Sharbati ya Embe Maziwa nk
Mapishi ya Sambusa
Jinsi ya kupika Vitumbua
Mapishi ya Maandazi
Kupika Kalimati
Chapati za Vitunguu
Mkate Wa Mayai
Mkate wa Nyama
Wali wa Karoti
Mboga Mchanganyiko
Mchuzi
Mayai
Nyama ya kusaga
Samaki
Na mengine mengi
It is a book of recipes range kilichokusanya how to cook different foods vitakavyokufanya enjoy both inside and outside the season of Ramadan. This book TOOL recipes that are tasty and easy to prepare.
Some of the recipes in this book are as

    Cassava of coconut oil
    Areca and Matobosho
    Greenhorn Bananas, Ripe etc.
    Potato meat, sweet potato, beans, chicken etc.
    Tomato spaghetti, noodles Sugar Etc.
    Parenting porridge, porridge Nazi, etc.
    Carrot juice, Mango, Tango
    Sharbati Mango Milk etc.
    Recipe Sambusa
    How to cook tumbling
    Recipes for cakes
    cook Kalimati
    Chapati and Onions
    Bread Of Eggs
    Meat loaf
    Wali of Carrots
    Mixed vegetables
    broth
    eggs
    Minced meat
    fish
    And many other
Read more
3.4
10 total
5
4
3
2
1
Loading...

What's New

Tumeondoa Tatizo la kukwama.
Tumeongeza mapishi
Mounekano Bora zaidi
Inatumia data kidogo kwa internet.
Read more

Additional Information

Updated
May 18, 2018
Size
1.5M
Installs
1,000+
Current Version
2.0
Requires Android
4.0.3 and up
Content Rating
Everyone
Permissions
Offered By
Jinsi ya Kupika Blog
Developer
Address 4630 Byers Lane Marysville, CA 95901 United States
©2018 GoogleSite Terms of ServicePrivacyDevelopersArtistsAbout Google|Location: United StatesLanguage: English (United States)
By purchasing this item, you are transacting with Google Payments and agreeing to the Google Payments Terms of Service and Privacy Notice.