Nijuze Habari

Contains ads
10K+
Downloads
Content rating
Everyone
Screenshot image
Screenshot image
Screenshot image
Screenshot image
Screenshot image

About this app

Nijuze Habari app ni app ya Kiswahili Maarufu Duniani kwa Habari za Magazeti, Nyimbo Mpya, Michezo, Ajira na Usajili.

Nijuze Habari App inakuletea Kigangani Mwako Nafasi za Kazi kila siku, Makala Mbali mbali za ndani na nje ya Tanzania Pamoja na Kutazama Ratiba na Matokeo ya Ligi zote Duniani, Matokeo ya EPL, Matokeo ya Bundesliga, Matokeo ya Seria A, Matokeo ya La Liga, Matokeo ya League 1, Matokeo ya NBC Premier League.

Ukiwa Nijuze Habari App utaweza kutazama Matokeo ya moja kwa moja (Live Updates) wakati mechi zinaendelea za Simba na Yanga kwenye Ligi Kuu na kwenye michezo ya CAF Champions League na CAF Confederation Cup, ratiba ya CAF Champions League, ratiba ya CAF Confederation Cup, ratiba ya Simba SC, ratiba ya Yanga SC.

Nijuze Habari pia inakuleta Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Wafungaji Bora, Makipa Bora, Wachezaji Bora, Vikosi vya Simba na Yanga, ratiba za Simba, Yanga na Azam FC, Matokeo ya Simba SC, Matokeo ya Yanga, ratiba ya Bundesliga, ratiba ya EPL, ratiba ya Seria A, ratiba ya League 1, ratiba ya La Liga.

Nijuze Habari inakuletea Kigangani Mwako Video za Magoli yote yaliyofungwa na Simba na Yanga, pia inakuletea Matokeo ya NECTA, Tanzania, Zanzibar, yanayojiri Magazetini, Habari Kubwa za Magazeti Pamoja Vichwa vya Habari za Magazeti.

Matokeo ya Darasa la 4, Matokeo ya Darasa la 7, Matokeo ya Kidato cha Kwanza, Matokeo ya Kidato cha nne, Matokeo ya Form 6 na Nyuo Mbali Mbali.

Nijuze Habari pia inakuletea Nafasi za Ajira zinazotangazwa kila Siku, Wanaoitwa kazini kila siku na Wanaoitwa kwenye Usaili kila Siku, ratiba ya Ligi Kuu Bara, ratiba ya NBC.

Share App yetu kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki ili nao Wasipitwe na Habari zetu.
Kwa maoni na Unaweza kuwasiliana nasi kupiiia email iliyopo kwenye ukurasa wa mawasiliano wa app hii au nijuzehabari@gmail.com
Updated on
Mar 6, 2023

Data safety

Safety starts with understanding how developers collect and share your data. Data privacy and security practices may vary based on your use, region, and age. The developer provided this information and may update it over time.
No data shared with third parties
Learn more about how developers declare sharing
No data collected
Learn more about how developers declare collection
Data is encrypted in transit
You can request that data be deleted

What's new

Kwa Habari motomoto, matukio, magazeti, michezo, ajira na makala mpya kila siku
App imeboreshwa zaidi.