TechMsaada ni app inayokusaidia kuelimika na kutatuliwa matatizo ya kiteknolojia.
Kupitia app ya TechMsaada kutoka Teknokona Group, utaweza kuhabarika na kuweza kupatiwa msaada wa masuala ya kiteknolojia kwa urahisi kwa njia ya mawasiliano ya simu.
TechMsaada ni rafiki yako anayefahamu na kupenda mambo mbalimbali ya kiteknolojia. Iwe ni jambo linalohusu simu, kompyuta, tv, programu/app mbalimbali unazotumia kila siku, unapokwama tuu KUMBUKA TECHMSAADA IPO KWA AJILI YAKO