Tunzaa inakuwezesha kufanya malipo ya bidhaa na huduma kwa kiwango kidogo cha pesa kwa kasi yako mwenyewe moja kwa moja kutoka kwenye simu yako mkononi ili iwe rahisi kufikiria mipango yako.
BIDHAA HALISI NA HUDUMA ZENYE UBORA WA JUU.
Tunzaa inahakikisha ubora wa huduma kwa wateja kwa kukagua watoa huduma yetu na pia kuzingatia bidhaa halisi na huduma zenye ubora wa juu.
FUATILIA MALIPO YAKO
Tunzaa inakupa kufuata kila pesa unayoweka kwa ajili ya lengo maalum, kama vile vifaa vya nyumbani, uwezo vya umeme & mtindo na mavazi au safari.
JIPIMIE
Kuwa huru kujipangia muda wa kukamilisha malipo na Tunzaa.
TAFUTA
Urahisi wa kuuza bidhaa kwa haraka.
UJUMBE
Pokea ujumbe wa kukumbusha kutunza pesa mara kwa mara.
MALENGO
Timiza malengo yako kwa kufanya malipo kwa usalama zaidi.
MATUMIZI
Epuka matumizi mabaya kwa kuzuia kutoa pesa hadi lengo litimie.
ZAWADI
Wanunulie zawadi wapendwa wako kupitia Tunzaa.
Ilisasishwa tarehe
17 Sep 2024