Wasafi TV | Video & Music

Contains Ads

Wasafi TV Live & WCB Wasafi Fans App | Tazama kila kitu cha Wasafi kupitia app hii. Tunakusogezea vitu vyote muhimu na exclusive kutoka Wasafi kuanzia Wasafi Records mpaka Wasafi Radio na TV.


Tazama shows, interviews, tours, video lyrics, life style, behind the scene na kusikiliza music pia kwenye app hii. Na tazama vipindi vya Wasafi TV kila siku.

Usipitwe na update, Kua wa kwanza kupata habari za wasanii wa WCB Wasafi kila zinapotoka.
- Diamond Platnumz
- Rich Mavoko
- Queen Darleen
- Rayvanny
- Harmonize
- Lavalava
- Mbosso Khan
- RJ The DJ

Programu hii haiweki nyimbo za kupakua zinazokiuka haki miliki. Pakua programu hii kwa bure uweze kusikiliza miziki na kutazama video kwa kutumia internet.

Kanusho

Hii ni programu isiyo rasmi. Programu hii na maudhui yake hayakubaliki rasmi au yanayotokana na, wala kuhusishwa na au kushirikiana na wasanii wa muziki au vyombo vilivyounganishwa vya msanii, kama vile usimamizi au lebo ya rekodi. Marejeo yote na haki miliki ni mali ya wamiliki wao. Programu hii ina matangazo yanayolingana na Sera ya Google Play na Tafadhali support wasanii na makampuni husika. Asante.
Read more
Collapse
4.7
159 total
5
4
3
2
1
Loading...

What's New

* Muonekano mpya wa kijanja zaidi.
* Sasa unaweza ku-rate/kuipa nyota video unayoipenda.
* Unaweza Login & Register na kuwa na Profile yako kama Fan wa WCB. Jiunge sasa ni bure.
* Unaweza weka Comment/Ujumbe kwenye video.
* Speed zaidi unafungua video kutazama.
* Marekebisho mengine madogo yamefanyika pia.
Read more
Collapse

Additional Information

Updated
September 24, 2019
Size
6.3M
Installs
100,000+
Current Version
WCB-1.06.9
Requires Android
4.2 and up
Content Rating
Everyone
Permissions
Offered By
Rubega Developers
©2019 GoogleSite Terms of ServicePrivacyDevelopersArtistsAbout Google|Location: United StatesLanguage: English (United States)
By purchasing this item, you are transacting with Google Payments and agreeing to the Google Payments Terms of Service and Privacy Notice.