what3words

what3words ni mfumo wa dunia wa kutoa anwani unaotegemea gridi ya dunia ya miraba ya 3mx3m. Kila moja ya miraba trilioni 57 ya 3mx3m duniani imetengwa mapema na ina anwani iliyowekwa na ya kipekee ya maneno 3. Jiokoda yetu hubadilisha viambatishi vya kijiografia kuwa anwani hizi za 3 word na kinyume chake.

what3words hufanya kazi bila muunganisho wa data. Hii hutatua tatizo la kudumu wakati uko katika maeneo ya mashinani na yasiyo na anwani, au katika maeneo yenye muunganisho duni.

Hata katika nchi zenye mifumo mahiri ya anwani, watu hupotea, vifurishi haviwasilishwi, na biashara na vivutio vya watalii havipatikani. Anwani duni huonekana kuwa inakera katika baadhi ya nchi, lakini duniani huzuia kukua na kupanuka kwa mataifa, mwishowe husababisha kupokea kwa maisha. Tunataka kumpa kila mtu duniani uwezo wa kusema kuhusu eneo sahihi kwa urahisi iwezekanavyo. Sasa kila mtu na kila mahali pana anwani.
Endelea kusoma
Kunja
4.1
Jumla ya 6,819
5
4
3
2
1
Inapakia...

Mambo Mapya

- Uboreshaji wa UI na utatuaji wa hitilafu
Endelea kusoma
Kunja

Maelezo ya Ziada

Imesasishwa
21 Juni 2019
Ukubwa
52M
Usakinishaji
1,000,000+
Toleo la Sasa
4.0.1
Inahitaji Android
4.0.3 na mapya zaidi
Daraja la Maudhui
Inauzwa na
what3words
Msanidi programu
Studio 301 Great Western Studios 65 Alfred Road W2 5EU ///filled.count.soap
©2019 GoogleSheria na Masharti ya TovutiFaraghaWaendelezajiWasaniiKuhusu Google|Mahali: MarekaniLugha: Kiswahili
Kwa kununua bidhaa hii, unatumia Google Payments na unakubali Sheria na Masharti na Ilani ya Faragha ya Google Payments.