• Akaunti Yangu
  • Tafuta
  • Ramani
  • YouTube
  • Gmail
  • Hifadhi
  • Google+
  • Tafsiri
  • Picha
Mengineyo
  • Hati
  • Blogger
  • Hangouts
  • Google Keep
Ingia
Sehemu zilizofichwa
Tafuta
  • Programu
    • Programu zangu
    • Nunua
    • Michezo
    • Maudhui ya Familia
    • Chaguo la Mhariri
  • Filamu na Runinga
    • Filamu na vipindi vyangu vya Runinga
    • Nunua
    • Runinga
    • Maudhui ya Familia
    • Studio
    • Mitandao
  • Muziki
    • Muziki wangu
    • Nunua
  • Vitabu
    • Vitabu vyangu
    • Nunua
    • Vibonzo
  • Rafu
    • Rafu yangu
    • Nunua
  • Vifaa
    • Nunua
  • Burudani
  • Akaunti
  • Nunua kadi ya zawadi
  • Orodha yangu ya matamanio
  • Shughuli Zangu za Play
  • Mwongozo wa Wazazi
    • Afya na Siha
    • Android Wear
    • Badilisha upendavyo
    • Biashara
    • Burudani
    • Elimu
    • Fedha
    • Habari na Magazeti
    • Hali ya hewa
    • Kuchumbiana
    • Kutoka mitandao jamii
    • Maktaba na Maonyesho
    • Mapambo ya Nyumba
    • Matibabu
    • Matukio
    • Mawasiliano
    • Motokaa
    • Mtindo wa maisha
    • Muziki na Sauti
    • Ramani na Maelekezo
    • Sanaa na Uchoraji
    • Spoti
    • Ulezi
    • Ununuzi
    • Upigaji picha
    • Urembo
    • Usafiri na ya Karibu Nawe
    • Vichekesho
    • Vihariri na Vicheza Video
    • Vitabu na Marejeo
    • Vyakula na Vinywaji
    • Za kuongeza tija
    • Zana
    • Michezo
    • Bao
    • Chemsha Bongo
    • Kadi
    • Kasino
    • Kuigiza
    • Maarifa
    • Maneno
    • Mapigano
    • Mashindano
    • Muziki
    • Spoti
    • Trivia
    • Uigaji
    • Ukumbi
    • Vituko
    • Ya Elimu
    • Ya kawaida
    • Maudhui ya Familia
    • Umri Usiozidi Miaka 5
    • Umri wa miaka 6-8
    • Umri: juu ya miaka 9
    • Wahusika Maarufu
    • Chemsha Bongo
    • Elimu
    • Kuigiza
    • Mapigano na Vituko
    • Muziki na Video
    • Ubunifu
Mwanzo
Chati Maarufu
Matoleo Mapya
    • Mipangilio
      • Kidhibiti cha Vifaa vya Android
      Cover art
      Mtengenezaji wa Juu

      WhatsApp Messenger

      55,154,066
      WhatsApp Inc. Mawasiliano
      PEGI 3 PEGI 3
      Inapakia uoanifu wa kifaa...
      Bidhaa imeongezwa kwenye orodha ya matamanio.
      Bidhaa imeondolewa kwenye orodha ya matamanio.
      1
       WhatsApp Messenger- kijipicha cha skrini   WhatsApp Messenger- kijipicha cha skrini   WhatsApp Messenger- kijipicha cha skrini   WhatsApp Messenger- kijipicha cha skrini   WhatsApp Messenger- kijipicha cha skrini
        WhatsApp Messenger- picha ya skrini
        WhatsApp Messenger- picha ya skrini
        WhatsApp Messenger- picha ya skrini
        WhatsApp Messenger- picha ya skrini
        WhatsApp Messenger- picha ya skrini

      Tarishi ya WhatsApp ni programu ya kutumiana ujumbe bure inayopatikana kwenye Android na simu-nadhifu zingine. WhatsApp inatumia muunganisho wa intaneti kwenye simu yako (4G/3G/2G/EDGE au Wi-Fi, inapopatikana) kutuma ujumbe na kupiga simu kwa marafiki na familia. Hamia WhatsApp kutoka kwenye SMS ili utume na upokee jumbe, miito, picha, video, hati na Jumbe za sauti.

      KWANINI UTUMIE WHATSAPP:

      • HAKUNA ADA: WhatsApp inatumia muunganisho wa Intaneti kwenye simu yako (4G/3G/2G/EDGE au Wi-Fi, inapopatikana) kutuma ujumbe na kupiga simu kwa marafiki na familia, kwa hiyo huitajiki kulipia kila ujumbe au mwito.* Hakuna ada inayotozwa kutumia WhatsApp.

      • MEDIA-MCHANGANYO: Tuma na kupokea picha, video, hati, na Jumbe za Sauti.

      • MIITO YA BURE: Wapigie simu bure marafiki zako na familia kwa kutumia huduma ya upigaji simu ya WhatsApp, hata kama wapo nchi nyingine. Miito ya WhatsApp inatumia muunganisho wa Intaneti badala ya mpango wa dakika za sauti wa selula.* (Kumbuka: Gharama za data zinaweza kutumika. Wasiliana na msambazaji wako kwa maelezo. Huwezi kutumia 911 na huduma zingine za dharura kwenye WhatsApp).

      • SOGA ZA KIKUNDI: Furahia soga za kikundi na wawasiliani wako kwa hii utawasiliana na marafiki na familia kwa karibu zaidi.

      • WHATSAPP WEB: Pia unaweza kutuma na kupokea jumbe za WhatsApp kutoka kwenye kivinjari cha kompyuta yako.

      • HAKUNA GHARAMA ZA KIMATAIFA: Hakuna gharama za ziada kwa kutuma jumbe za WhatsApp kimataifa. Sogesha na marafiki zako dunia nzima na uepuke gharama za SMS za kimataifa.*

      • SEMA HAPANA KWA MAJINA YA WATUMIAJI NA PIN : Kwanini usumbuke kukumbuka majina ya watumiaji au PIN? WhatsApp inafanya kazi kwa namba yako ya simu, kama SMS, na inajiunganisha na kitabu cha anwani cha simu bila usumbufu.

      • BAKI NDANI KILA WAKATI: Kwa WhatsApp, kila wakati upo ndani ya programu kwa hivyo huwezi kukosa jumbe. Hakuna kujichanganya kama umeingia ndani ya programu au umetoka.

      • UNGANIKA NA WAWASILIANI WAKO HARAKA: Kitabu chako cha anwani kinatumika kukuunganisha haraka na kwa urahisi na wawasiliani wako walio na WhatsApp kwa hivyo hakuna haja ya kuongeza muwasiliani maana ni vigumu kukumbuka majina ya watumiaji.

      • JUMBE ZA NJE YA HEWA: Hata kama umekosa arifa zako au umezima simu yako, WhatsApp itakuhifadhia jumbe zako za sasa hivi mpaka kipindi kijacho utakapotumia programu.

      • NA MENGINE ZAIDI: Shirikisha eneo lako, badilishana wawasiliani, weka mandhari binafisi na sauti za arifa, utumaji wa historia ya soga kwa barua pepe, usambazaji ujumbe kwa wawasiliani wengi kwa wakati mmoja, na zaidi!

      *Gharama za data zinaweza kutumika. Wasiliana na msambazaji wako kwa maelezo.

      ---------------------------------------------------------
      Kila wakati tuna shauku ya kusikia kutoka kwako! Kama una maoni yoyote, maswali, au sikilizo, tafadhali tutumie barua pepe kwenye:

      android-support@whatsapp.com

      au tufuatilie kwenye twitter:

      http://twitter.com/WhatsApp
      @WhatsApp
      ---------------------------------------------------------
      Ukaguzi wangu
      Maoni ya

      Ukaguzi

      4.4
      jumla ya ukadiriaji 55,154,066
      5 38,155,361
      4 8,303,214
      3 3,520,374
      2 1,523,019
      1 3,652,098
      John Onduu
      Denis Ruta
      Iko poa
      Twahir Omari
      Nzuri sana
      Patrick ahada Ahada
      Hu ndio ukweli ,hutuma zenu kwetu ni salama ,asandeni sana
      Bernard Manota
      Jamani mie sm yangu imeshindwa kupakua whatsApp
      kazikazi wadau

      Ukaguzi wa watumiaji

      31 Mei 2017
      John Onduu
      Uhakiki Kamili
      Denis Ruta 1 Mei 2017
      Iko poa
      Uhakiki Kamili
      Twahir Omari 27 Aprili 2017
      Nzuri sana
      Uhakiki Kamili
      Patrick ahada Ahada 4 Aprili 2017
      Hu ndio ukweli ,hutuma zenu kwetu ni salama ,asandeni sana
      Uhakiki Kamili
      Bernard Manota 12 Aprili 2017
      Jamani mie sm yangu imeshindwa kupakua whatsApp
      Uhakiki Kamili
      16 Aprili 2017
      kazikazi wadau
      Uhakiki Kamili
      Anno Mlwilo 3 Mei 2017
      Nime ipenda
      Uhakiki Kamili
      Jafali Mpoya 30 Machi 2017
      Naipenda waswap
      Uhakiki Kamili
      Josia Jusitasi 25 Februari 2017
      Tuna ipongeza whatsAp kwa kazi nzuri pamoja sana Mola awatangulie kwasababu yeye niBwana wavitu vyote
      Uhakiki Kamili
      Mtu anayetumia Google 17 Mei 2017
      Kawaida Hamna jipya
      Uhakiki Kamili
      24 Februari 2017
      Nipe da,saana
      Uhakiki Kamili
      Omari Kilindo 17 Machi 2017
      Siwaoni wawasilianaji
      Uhakiki Kamili
      Ibrahim Ayub 29 Aprili 2017
      Its good
      Uhakiki Kamili
      dura Maandazi 21 Februari 2017
      whatsapp naipenda sana
      Uhakiki Kamili
      oscar nyanzara 23 Februari 2017
      Majutofranssiko Naipenda
      Uhakiki Kamili
      hussein rajabu 16 Februari 2017
      Nimeipenda
      Uhakiki Kamili
      juma mnumbwa 13 Aprili 2017
      Excellent
      Uhakiki Kamili
      Ntungwanayo Leverien 15 Februari 2017
      Naomba mniongezeye sauti whasapp mtu akinipigia minamsikia ila yeye hanipat tatizo nihilo asanteni
      Uhakiki Kamili
      DJ JORA 2 Machi 2017
      Nimeipendasana
      Uhakiki Kamili
      28 Desemba 2016
      ULICHO PATA KILIKUWA CHA YULE SIKU MOJA KITARUDI USIJIVUNIE UTAKUJA KUAIBIKA
      Uhakiki Kamili
      Nyameri Maro 30 Desemba 2016
      Manzese Dar es salaam
      Uhakiki Kamili
      Simon Mahundo 14 Januari 2017
      Hii Ipo safi Sana
      Uhakiki Kamili
      Stephen Mossony 15 Desemba 2016
      Mr Its quicker:
      Uhakiki Kamili
      frolian magayane 11 Februari 2017
      yajuu sana
      Uhakiki Kamili
      6 Januari 2017
      Whatsapp
      Uhakiki Kamili
      Ramadhani lumbia 13 Januari 2017
      Shabani salim kalam Shabani
      Uhakiki Kamili
      David Denis 29 Desemba 2016
      Bomba Naenjoy
      Uhakiki Kamili
      16 Mei 2017
      Nzuri
      Uhakiki Kamili
      10 Mei 2017
      Poa
      Uhakiki Kamili
      hassan harid 23 Machi 2017
      Whatsapp Whatsapp ikovizuri
      Uhakiki Kamili
      saphina nyamwiza 21 Aprili 2017
      good
      Uhakiki Kamili
      20 Desemba 2016
      Kwanini hii whatsapp inakataa kuingia nambayangu
      Uhakiki Kamili
      Damas Charles 12 Aprili 2017
      Nimeipenda sana Watsap
      Uhakiki Kamili
      8 Novemba 2016
      Nimeipenda sana
      Uhakiki Kamili
      Salumu Shabani 5 Oktoba 2016
      Mwanaume Naitaji kutumia
      Uhakiki Kamili
      20 Septemba 2016
      Mungu mkubwa wayote Tupendane sote ndugu
      Uhakiki Kamili
      Yassini Kisendi 16 Septemba 2016
      Yassini Kisendi Sana
      Uhakiki Kamili
      16 Oktoba 2016
      Adientina samwel
      Uhakiki Kamili
      16 Septemba 2016
      Inafaa maishani inaka viema sana
      Uhakiki Kamili
      Elibariki Pallangyo 7 Septemba 2016
      safi sana kazi nzuri sana
      Uhakiki Kamili
      Maoni yamefutwa

      Nini Kipya

      • Bandika soga juu kwenye orodha yako ya soga, ili uweze kuzipata kirahisi. Gusa na shikilia kwenye soga kisha gusa alama ya pini juu kwenye skrini yako.

      Maelezo ya ziada

      Toleo hili lilizinduliwa
      17 Mei 2017
      Ukubwa
      Ni tofauti kulingana na kifaa
      Imesakinishwa mara
      1,000,000,000 - 5,000,000,000
      Toleo la Sasa
      Ni tofauti kulingana na kifaa
      Matoleo ya Android Yanayotumika
      Ni tofauti kulingana na kifaa
      Ukadiriaji wa Maudhui
      PEGI 3
      Pata maelezo zaidi
      Vipengele Vinavyoshirikiwa
      Watumiaji Hushirikiana, Manunuzi Dijitali
      Idhini
      Ripoti
      Ripoti kuwa haifai
      Ni ya
      WhatsApp Inc.
      Msanidi programu
      Tembelea tovuti Tuma barua pepe kwa android@support.whatsapp.com Sera ya Faragha
      650 Castro Street, Suite 120-219 Mountain View, CA, USA, 94041

      Zinazofanana Angalia zingine

      Messenger
      Viliyoagizwa awali
      Messenger
      Facebook
      Mtume - njia ya haraka ujumbe.
      imo free video calls and chat
      Viliyoagizwa awali
      imo free video calls and chat
      imo.im
      Soga, Piga simu, Gundua - yote katika sehemu moja.
      Messenger Lite
      Viliyoagizwa awali
      Messenger Lite
      Facebook
      Toleo la haraka la Messenger linalofanya kazi kwenye hali zote za mtandao
      Facebook
      Viliyoagizwa awali
      Facebook
      Facebook
      Kuweka juu na marafiki ni kasi zaidi kuliko milele.
      Viber Messenger
      Viliyoagizwa awali
      Viber Messenger
      Viber Media S.à r.l.
      Viber Mtume: Nakala Ujumbe, Latest Simu Wito, Live Video Gumzo na zaidi!
      Kivinjari cha Chrome - Google
      Viliyoagizwa awali
      Kivinjari cha Chrome - Google
      Google Inc.
      Kasi na wepesi wa Chrome sasa upo kwenye simu ya Android na kompyuta yako kibao.
      LINE: Free Calls & Messages
      Viliyoagizwa awali
      LINE: Free Calls & Messages
      LINE Corporation
      Kukaa katika kuwasiliana na marafiki na familia yako kwa kutumia LINE!
      Gmail
      Viliyoagizwa awali
      Gmail
      Google Inc.
      Barua pepe kutoka Google
      UC Browser - kivinjari
      Viliyoagizwa awali
      UC Browser - kivinjari
      UCWeb Inc.
      UC Browser inakupa uzoefu mtandao haraka yote katika moja
      WhatsUp Messenger
      Viliyoagizwa awali
      WhatsUp Messenger
      Entertainment Apps©
      WhatsUp Mtume App ni bure, haraka, fiche ujumbe na faili kugawana programu
      Instagram
      Viliyoagizwa awali
      Instagram
      Instagram
      Instagram - Kama, kukamata na kushiriki wakati dunia
      BBM - Free Calls & Messages
      Viliyoagizwa awali
      BBM - Free Calls & Messages
      BlackBerry Limited.
      Mpya UPDATE: New Stika, wito sauti, Vouchers, Michezo, News, Video & zaidi ...
      imo beta free calls and text
      Viliyoagizwa awali
      imo beta free calls and text
      imo.im
      Shusha IMO beta kujaribu mwezi na majaribio makala snabbmeddelanden.
      Skype - free IM & video calls
      Viliyoagizwa awali
      Skype - free IM & video calls
      Skype
      Skype video na wito sauti, ujumbe wa papo na bei nafuu simu za kimataifa.
      Hangouts
      Viliyoagizwa awali
      Hangouts
      Google Inc.
      Hangouts - huduma za bila malipo za ujumbe, video na sauti
      Telegram
      Viliyoagizwa awali
      Telegram
      Telegram Messenger LLP
      Telegram ni ujumbe programu kwa lengo la kasi na usalama.

      Zingine zaidi kutoka kwa mtengenezaji

      WhatsApp Wallpaper
      Viliyoagizwa awali
      WhatsApp Wallpaper
      WhatsApp Inc.
      ©2017 Google Sheria na Masharti ya Tovuti Faragha Wasanidi programu Wasanii Kuhusu Google Bei zote zinajumlisha VAT.
      Kwa kununua bidhaa hii, unatumia Google Payments na kukubaliana na Sheria na Masharti na Ilani ya Faragha ya Google Payments.