CAG Hymns - Nyimbo Mpya za Ufalme

Sasa unaweza kupakua CAG Hymns bila malipo kwenye simu yako au tarakilishi. Sikiliza nyimbo mpya za ufalme na kujiunga na enzi ya kumfuata Mwanakondoo na kuimba nyimbo mpya!
Pakiwa na namna zote za mikusanyiko na aina nyingi kuchagua kwazo, unaweza kupata kwa urahisi muziki unaokufurahisha. Rekodi nyimbo za akapela au za mtu mmoja mmoja, ratibu uzoefu wako mwenyewe wa kuimba pamoja na magwiji, na uimbe kutoka moyoni mwako ukimsifu Mungu. Ongeza kwa urahisi muziki unaokufurahisha kwenye Vipendwa vyako au Orodha ya Nyimbo ili ushikilie tungo zinazouugusa moyo wako. Kwa upakuaji wa kidoko kimoja wa muziki unaoupenda, unaweza kuusikiliza nje ya mtandao wakati wowote. Badilisha ili uone nyimbo katika lugha tofauti kwa mguso mmoja kwa maonyesho ya kuvutia ya mitindo ya ulimwengu ya muziki.
Ukiwa na programu ya CAG Hymns unaweza kujiwekea nyimbo zako zote vipenzi nyakati zote ili uweze kuzifurahia na kumsifu Mungu popote!

Pitiapitia
● Nyimbo na video maarufu, kuwasilishwa kuzuri sana
● Angalia nyimbo mpya kabisa mara moja
● Mikusanyo tofauti ili uchague kwayo
● Chagua vipenzi vyako kutoka kwa aina tofauti za muziki
● Lugha mbalimbali zipo kwa mahitaji tofauti

Karaoke
● Pakua muziki na maneno ya nyimbo ili kuimba nyimbo kwa njia yoyote, wakati wowote, na popote unapotaka
● Imba pamoja na nyimbo asili za kuimbwa au muziki tu, ukikusaidia kupata hisia sahihi ya moyo
● Fanya mazoezi ya nyimbo zako vipenzi katika akapela kwa uzoefu wa msingi katika kumsifu Mungu
● Pata nyimbo katika lugha tofauti kwa kipigo kimoja cha kitufe

Video
● Video zote mpya kabisa ziko hapa. Pata vipenzi vyako!
● Pata video nzuri sana za nyimbo za kidini na kazi za kwaya, pamoja na video za muziki zote zikipatikana bila shida

Maktaba
● Chungua kote kwa haraka na kuongeza nyimbo zako vipenzi
● Tunga orodha za nyimbo na kuhifadhi muziki wako vipenzi.
● Ongeza muziki unaoupenda kwenye Orodha yako ya nyimbo kwa kipigo kimoja
● Katika Zilizochezwa Hivi Karibuni, pata kwa urahisi nyimbo ulizozisikiliza tayari
● Upakuaji wa kipigo kimoja hukuruhusu kufurahia muziki nje ya mtandao
Endelea kusoma
Kunja
4.9
Jumla ya 329
5
4
3
2
1
Inapakia...

Mambo Mapya

We made some improvements to the app to make it better for you.
Endelea kusoma
Kunja

Maelezo ya Ziada

Imesasishwa
21 Aprili 2019
Ukubwa
20M
Usakinishaji
1,000+
Toleo la Sasa
1.01
Inahitaji Android
4.1 na mapya zaidi
Daraja la Maudhui
Inauzwa na
The Church of Almighty God
©2019 GoogleSheria na Masharti ya TovutiFaraghaWaendelezajiWasaniiKuhusu Google|Mahali: MarekaniLugha: Kiswahili
Kwa kununua bidhaa hii, unatumia Google Payments na unakubali Sheria na Masharti na Ilani ya Faragha ya Google Payments.