4.3
Maoni 108
elfu 50+
Vipakuliwa
Daraja la maudhui
Miaka 3 kwenda juu
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini

Kuhusu programu hii

Zana ya Hesperian ya Uzazi wa Mpango imebuniwa kuwasaidia wafanyakazi wa afya walio mstari wa mbele, viongozi wa jamii, na wahamasishaji wengine wa afya kupata na kupeana taarifa sahihi juu ya njia mbalimbali za kuzuia mimba. Zana hii inaweza kukusaidia kuwashauri wanawake juu ya afya ya uzazi, njia kadhaa za kuzuia mimba, manufaa na changamoto ya kila njia, na mambo mengi zaidi. Ndani yake kuna zana nyingine ya “Kuchagua Njia” ambayo inaweza kusaidia kubainisha njia zipi zinafaa zaidi kutegemea na mahitaji, mazingira na historia ya afya ya mtu binafsi.

Sehemu ya Maswali Yanayoulizwa Mara ka Mara inajibu maswali ya jumla juu ya uzazi wa mpango na inashughulikia maswali mahsusi kuhusu njia kadhaa za kuzuia mimba.

Zana hii imebeba Kisa mafunzo shirikishi cha Unasihi (Interactive Counseling Adventure) ili kusaidia kuboresha stadi za unasihi kwa kuzingatia mahitaji tofauti ya mwanamke.

Zana hii hutumika na hupatikana kwa urahisi kwa watoa huduma za afya, viongozi wa jamii, na wahamasishaji wengine wa afya. Inaweza kutumiwa pia na watu binafsi wanaotafuta taarifa kwa ajili ya matumizi binafsi.

Baada ya kuipakua kutoka mtandaoni, zana hii hufanya kazi bila kuhitaji kifurusi cha data. Hupatikana kwenye simu janja zote za aina ya Apple na Android, katika lugha za Kiingereza, Kireno, Kifaransa, na Kiswahili.
Ilisasishwa tarehe
18 Sep 2023

Usalama wa data

Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Hakuna data inayoshirikiwa na wengine
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha kushiriki data
Hakuna data iliyokusanywa
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha ukusanyaji wa data

Ukadiriaji na maoni

4.3
Maoni 103

Mapya

Sasisho ndogo za yaliyomo