fadhilipaulo

Contains Ads

Naitwa Fadhili Paulo, Ni Tabibu wa Tiba Asilia. Ninaishi Dar Es Salaam na ni Mtanzania. Kwa sasa nasoma Sayansi ya Kompyuta kwa njia ya mtandao.

Ninayo ofisi yangu binafsi Dar Es Salaam lakini pia bado nafanya kazi kwa njia ya mtandao, kwa tatizo lolote kuhusiana na tovuti hii au kama unahitaji kuniona, wasiliana na mimi kwenye WhatsApp +255769142586.

Nahisi upo katika kurasa hii ili kujuwa kidogo kuhusu mimi?!!. Bahati mbaya si mjuzi sana katika kujielezea binafsi, kumbe ukitaka nikuelezee wewe naweza tumia hata kurasa 10, hata hivyo usinihukumu.

Bali nitajaribu kidogo. Nahusudu Afya, Kompyuta na Teknolojia. Napendelea Kujisomea, Kuandika, Kupika, Kusafiri na kuukomboa ulimwengu dhidi ya ujinga na uongo.

Masharti na Vigezo vya matumizi ya Application hii:

1. Mtumiaji wa Application hii awe na umri usiopungua miaka 13. Udhibiti zaidi waweza kuongezwa itakapobidi.

2. Nyaraka zozote zinazoambatanishwa humu kama zipo, haki zake zinabaki kwa wamiliki wa nyaraka hizo.

3. Unaruhusiwa kubeba chochote hapa kwa matumizi yako binafsi tu.

4. Application hii inahaririwa (edited) kila siku.

5. Ukurasa wowote waweza kuhaririwa au kuondolewa muda wowote itakapohitajika bila taarifa yoyote kwa msomaji.


www.fadhilipaulo.com
Read more
4.9
15 total
5
4
3
2
1
Loading...

What's New

Tumeongeza Notification,Sasa utapata Notification kila tukiweka somo Jipya
Read more

Additional Information

Updated
October 15, 2017
Installs
1,000+
Current Version
1.1
Requires Android
4.0 and up
Content Rating
Everyone
Permissions
Offered By
Fadhili Paulo
©2018 GoogleSite Terms of ServicePrivacyDevelopersArtistsAbout Google|Location: United StatesLanguage: English (United States)
By purchasing this item, you are transacting with Google Payments and agreeing to the Google Payments Terms of Service and Privacy Notice.