Imarisha Maisha

165
Translate the description into English (United States) using Google Translate?Translate the description back to Swahili

Tunatoa mikopo binafsi, ya wafanyakazi na ya vikundi. Riba yetu ni nafuu. Mikopo hii inamfaa mtu yeyote awe wa mtandao wowote wa simu au benki yoyote ile.

Jinsi ya kutumia.
- Pakua app ya ImarishaMaisha
- Jaza vitu muhimu
- Tuma maombi ya mkopo

Pin ni nini ?
Hizi ni namba 4 ambazo utatumiwa kwenye nambari yako ya simu,
Lengo ni kuhakikisha kama namba hiyo ni sahihi na inafanya kazi.

Je, naweza kuomba mkopo hadi kiasi gani ?
Kuanzia Elfu tano ( Sh5,000 ) hadi milioni tatu ( 3,000,000 ).

Kwa mawasiliano zaidi tupigie simu kwa namba +255682826168

Kulipia mkopo wako

Kwa mpesa
1) Piga *150*00# kupata huduma za M-Pesa.
2) Chagua Namba 4 - LIPA kwa M-Pesa
3) Chagua Namba 4 - Weka namba ya kampuni
4) Weka namba ya kampuni- 767676
5) Weka namba ya kumbukumbu ya malipo - anza na 242 ikifuatiwa na namba yako uliyotumia kujisajiri kwenye App ya Imarisha Maisha. mfano 2420654236218
6) Weka kiasi unachotaka kulipa, kutegemeana na deni lako ( unaweza kulipa kidogo kidogo )
7) Weka namba ya siri kuhakiki.
8) Utapokea ujumbe kuwa tumepokea malipo yako.

Kwa Tigo Pesa
1) Piga *150*01# kupata huduma za Tigo Pesa .
2) Chagua Namba 4 - Lipa Bili
3) Chagua Namba 3- Ingiza namba ya kampuni
4) Ingiza namba ya kampuni- 767676
5) Weka kumbukumbu namba- anza na 242 ikifuatiwa na namba yako uliyotumia kujisajiri kwenye App ya Imarisha Maisha. mfano 2420654236218
6) Weka kiasi unachotaka kulipa, kutegemeana na deni lako ( unaweza kulipa kidogo kidogo )
7) Weka namba ya siri kuhakiki.
8) Utapokea ujumbe kuwa tumepokea malipo yako.

Kwa Airtel Money
1) Piga *150*60# kupata huduma za Airtel Money.
2) Chagua Namba 5 - Lipia Bili
3) Chagua Namba 4- Weka namba ya kampuni
4) Weka namba ya kampuni- 767676
5) Weka kumbukumbu namba- anza na 242 ikifuatiwa na namba yako uliyotumia kujisajiri kwenye App ya Imarisha Maisha. mfano 2420654236218
6) Weka kiasi unachotaka kulipa, kutegemeana na deni lako ( unaweza kulipa kidogo kidogo )
7) Weka namba ya siri kuhakiki.
8) Utapokea ujumbe kuwa tumepokea malipo yako.
We provide personal, employee and group loans. Our interest is cheaper. This loan is suitable for anyone to be on any phone network or any bank.

How to use it.
- Download the App for UpdateShare
- Fill in the key elements
- Submit a loan application

Pin is what?
These are the 4 numbers that will be used on your phone number,
The goal is to make sure the number is accurate and valid.

How much can I apply for a loan?
From five thousand (Sh5,000) to 3 million.

For further contact call us by phone +255682826168

Pay your loan

To the vine
1) Dial * 150 * 00 # to get M-Money services.
2) Select Number 4 - OFF for M-Money
3) Select Number 4 - Enter the company number
4) Enter company number - 767676
5) Include a payment record number - start with 242 followed by your self-employed number on the Lifestyle App. model 2420654236218
6) Put the amount you want to pay, depending on your debt (you can pay less)
7) Enter the secret number to verify.
8) You will receive a message that we have received your payment.

For Tigo Money
1) Dial * 150 * 01 # to get Tigo Money services.
2) Select Number 4 - Pay Bill
3) Select Number 3- Enter the company number
4) Enter a company number - 767676
5) Make a new note and 242 followed by your self-employed number on the Lifestyle App. model 2420654236218
6) Put the amount you want to pay, depending on your debt (you can pay less)
7) Enter the secret number to verify.
8) You will receive a message that we have received your payment.

For Airtel Money
1) Dial * 150 * 60 # to get Airtel Money services.
2) Select Number 5 - Bid Bill
3) Select Number 4- Place the company number
4) Enter company number - 767676
5) Make a new note and 242 followed by your self-employed number on the Lifestyle App. model 2420654236218
6) Put the amount you want to pay, depending on your debt (you can pay less)
7) Enter the secret number to verify.
8) You will receive a message that we have received your payment.
Read more
Collapse
4.2
165 total
5
4
3
2
1
Loading...

What's New

Sasa utapokea jibu la ombi lako kwa haraka zaidi.
Baada ya kuomba mkopo taarifa zote utatumiwa kwenye App yako.

Kwa maoni au msaada zaidi wasiliana nasi kwa simu namba
+255682826168
Read more
Collapse

Additional Information

Updated
December 15, 2018
Size
3.3M
Installs
10,000+
Current Version
2.5
Requires Android
4.1 and up
Content Rating
Everyone
Permissions
Offered By
TodaySky
©2018 GoogleSite Terms of ServicePrivacyDevelopersArtistsAbout Google|Location: United StatesLanguage: English (United States)
By purchasing this item, you are transacting with Google Payments and agreeing to the Google Payments Terms of Service and Privacy Notice.