Biblia Takatifu - Swahili Bible

Contains Ads

Biblia Takatifu ya Kiswahilii inakuwezesha kusoma Biblia Takatifu bila kuwa na mtandao (offline). Biblia Takatifu ya Kiswahili ina jumla ya vitabu 66. Vitabu 39 vya Agano la Kale na vitabu 27 vya Agano Jipya.

Biblia Takatifu ya Kiswahili imetengenezwa kukuwezesha kupangilia kulingana na mahitaji yako, mfano unaweza kuangaza aya unazotaka kuzipata kwa urahisi, kuandika kumbukumbu na kuweka alama katika sura upendazo (Bookmarks) ili uipate kirahisi utakapohitaji kuisoma baadae.

Pia unaweza kushirikisha ndugu, jamaa na marafiki mstari wowote kutoka kwenye Biblia Takatifu App kupitia ujumbe mfupi (SMS) au mitandao ya kijamii kama Facebook, twitter na WhatsApp.

Pakua Bibilia Takatifu ya kiswahili app leo na ubebe neo la Mungu popote uendapo!

UNAWEZA KUFANYA YAFUATAYO
★ Kusoma Bibilia Takatifu yote bila kuwa na intaneti (Offline)
★ Kupata aya ya siku katika Bibilia Takatifu kila siku katika muda utakaouchagua kwenye bibilia Takatifu app.
★ Kutafuta maneno au neno lolote kwenye Biblia Takatifu yote au kwenye Agano la Kale au Jipya.
★ Kuchagua mandhari ya usiku au mchana kukusaidia kusoma kwa urahisi kulingana na mazingira.
★ Kubadili ukubwa wa maneno wa aya za Bibilia Takatifu.
★ Kubadili aina ya fonti za aya za Bibilia
★ Kupata kitabu cha Biblia Takatifu kwa urahisi baada ya kutafuta.
★ Kuangaza aya kwa rangi mbalimbali (Kati ya rangi nane)
★ Kuhifadhi alamisho (Bookmarks) ili kupata aya za Bibilia Takatifu uzipendazo kwa urahisi na haraka
★ Kuandika kumbukumbu na kuzipanga kwa rangi

VITABU VYA AGANO LA KALE
1. Mwanzo
2. Kutoka
3. Mambo ya Walawi
4. Hesabu
5. Kumbukumbu la Torati
6. Yoshua
7. Waamuzi
8. Ruthu
9. 1 Samweli
10. 2 Samweli
11. 1 Wafalme
12. 2 Wafalme
13. 1 Mambo ya Nyakati
14. 2 Mambo ya Nyakati
15. Ezra
16. Nehemia
17. Esta
18. Ayubu
19. Zaburi
20. Mithali
21. Mhubiri
22. Wimbo Ulio Bora
23. Isaya
24. Yeremia
25. Maombolezo
26. Ezekieli
27. Danieli
28. Hosea
29. Yoeli
30. Amosi
31. Obadia
32. Yona
33. Mika
34. Nahumu
35. Habakuki
36. Sefania
37. Hagai
38. Zekaria
39. Malaki

VITABU VYA AGANO JIPYA
1. Mathayo
2. Marko
3. Luka
4. Yohana
5. Matendo ya Mitume
6. Warumi
7. 1 Wakorintho
8. 2 Wakorintho
9. Wagalatia
10. Waefeso
11. Wafilipi
12. Wakolosai
13. 1 Wathesalonike
14. 2 Wathesalonike
15. 1 Timotheo
16. 2 Timotheo
17. Tito
18. Filemoni
19. Waebrania
20. Yakobo
21. 1 Petro
22. 2 Petro
23. 1 Yohana
24. 2 Yohana
25. 3 Yohana
26. Yuda
27. Ufunuo wa Yohana
Read more
Collapse
4.6
540 total
5
4
3
2
1
Loading...

What's New

Bug fixes
Read more
Collapse

Additional Information

Updated
August 4, 2019
Size
6.4M
Installs
10,000+
Current Version
1.4.3
Requires Android
4.2 and up
Content Rating
Everyone
Interactive Elements
Users Interact
Permissions
Offered By
Robert Londo
Developer
P.O.Box 2624, Dar es Salaam, Tanzania.
©2019 GoogleSite Terms of ServicePrivacyDevelopersArtistsAbout Google|Location: United StatesLanguage: English (United States)
By purchasing this item, you are transacting with Google Payments and agreeing to the Google Payments Terms of Service and Privacy Notice.