Tala Tanzania

30,027

Tala ni app nambari 1 Tanzania inayotoa huduma za kifedha kwa wadau wanaotumia mtandao wa Tigo na Vodacom!

Tunakupatia mkopo mikononi mwako, wakati wowote na mahali popote. Pia ada zetu ni ndogo na tuna ratiba rahisi za marejesho.

Je! Inafanyaje kazi?
- Fungua akaunti yako ya Tala
- Omba mkopo kwa dakika 5 tu
- Pata jibu la ombi lako la mkopo baada ya sekunde chache tu
- Pesa itatumwa papo hapo kwenye akaunti yako ya Tigo Pesa au M-PESA
- Kopa na rejesha mkopo kwa wakati uweze kukopa viwango vikubwa zaidi

Sera ya Faragha: Unapo-download programu ya Tala, tutakuomba kusoma SMS zako pamoja na taarifa nyingine ili kuhakiki utambulisho wako, na hali yako ya kifedha, ili tuweze kukupatia mkopo wa haraka popote ulipo Tanzania. Tunathamini sana faragha na taarifa zako binafsi hazitatolewa kwingine bila ya wewe kutoa idhini.

Masharti: Ada ya huduma ya Tala ni 14-20% ya mkopo. Ratiba ya kufanya malipo inaweza kubadilika lakini, haitazidi siku 21 au 30 kuanzia siku mkopo ulipotolewa. Ada ya juu kabisa ya kuchelewa ni 10% ya mkopo. Masharti mengine yanweza kuwepo.

Mfano: Mkopo wa siku 30; wenye ada ya 20% (mkopo utakolipwa ndani ya wakati)

Mkopo : TSH 100,000
Ada ya huduma: TSH 20,000
Jumla: TSH 120,000

*Kiwango cha asilimia cha kila mwaka ni: 243%. Tala haitakudai zaidi ya kiwango cha ada ya huduma, na kama hautalipa ndani ya wakati, kuna ada ya mara moja ya kushidwa kulipa. Ada na riba hazijumlishwi.

_________

Tala is the #1 solution to build your financial future! Get loans at your fingertips--whenever, wherever.

So! How does it work?
-Open your Tala account
-Apply for a loan within 5 minutes only
-Get your loan application feedback within a few seconds
-Money will be sent instantly to your Tigo Pesa or M-PESA
-Borrow and Repay on time so as to get access to bigger amounts

Privacy Policy: When you download the Tala application, we will ask to read your SMS and other data so as to confirm your identification and financial status so as to give you a fast loan anywhere in Tanzania. We value your privacy and your data will not be shared anywhere else without your permission.


Terms and Conditions: Tala charges a service fee of 14-20%* of principal. Repayment schedules may vary; however, the maximum repayment period for a Tala loan is 21 or 30 days from disbursement. Maximum late fee of 10% of principal. Additional terms and conditions apply.

Example: 30-day loan; 20% service fee (on-time repayment)

Amount of Principal: TSH 100,000
Amount of Service Fee: TSH 20,000
Total: TSH 12,000

*Effective APR: 243%. Tala will never charge you more than the amount of your service fee (plus, if you do not repay on time, a one-time default fee). Interest and fees do not compound or accrue.
Read more
Collapse
4.7
30,027 total
5
4
3
2
1
Loading...

Additional Information

Updated
April 26, 2019
Size
10M
Installs
1,000,000+
Current Version
7.34.0
Requires Android
4.0.3 and up
Content Rating
Everyone
Permissions
Offered By
Tala Mobile
©2019 GoogleSite Terms of ServicePrivacyDevelopersArtistsAbout Google|Location: United StatesLanguage: English
By purchasing this item, you are transacting with Google Payments and agreeing to the Google Payments Terms of Service and Privacy Notice.