Ziyarat-e-Arbaeen
Kwa mujibu wa Imamu Hasan bin Ali Al Askari (as) Dalili za Muumini wa kweli ni tano:-
1) Soma Rak-a’t 51 katika masaa 24 ya mchana (Rak-a’ts 17, + 34 Rak-a’ts katika Swala za Naafilah).
2) Kuwa Karbala kwa Ziyarat ya Imam Husayn (as)/mashahidi wengine, au angalau soma Ziyarat ya Mtukufu Imam kama ilivyotolewa.
3) Kuvaa pete katika mkono wa kulia.
4) Kuweka paji la uso juu ya ardhi (ikiwezekana ardhi ya Karbala) kwa kusujudu.
5) Kutamka “Bismillahir-Rah’maanir-Rah’iym” kwa sauti safi na kubwa wakati wa kuswali swala.
Ilisasishwa tarehe
14 Sep 2022