HewaMkopo

4,4
2,26 hilj. recenzije
100 hilj.+
Preuzimanja
Kategorizacija sadržaja
Kategorizirano za 3+
Slika snimka ekrana
Slika snimka ekrana
Slika snimka ekrana
Slika snimka ekrana
Slika snimka ekrana

O aplikaciji

Watumiaji wanaweza kupata bidhaa za mkopo walio na vigezo, kwakutumia njia ya mtandao kwa asilimia 100%
Jisikie huru kupakua na kutumia HewaMkopo. Tuna furaha kutoa huduma bora kwa kila mwananchi.
Kwa Nini Uchague HewaMkopo.?
1.Kiasi tofauti cha mkopo cha kuchagua
2.Kiwango cha chini cha riba
3.Mchakato wa mtandaoni wa 100% na hatua rahisi
4.24/7 huduma
5.Hakuna ada nyingine
6.Ulinzi wa taarifa zako zote za kibinafsi

Mahitaji ya Maombi.
1.Umri wa miaka 18 na zaidi
2.kuwa raia wa Tanzania

Vipengele vya Bidhaa
Kiasi cha Mkopo: Tsh 10,000 ~ Tsh 500,000
Muda wa Mkopo: siku 91 hadi siku 365
Kiwango cha Juu cha Asilimia ya Mwaka (APR): 26%.

Mfano
Ukiomba mkopo wa Tsh 10,000, muda wa mkopo ni siku 365 na APR ni 25%.
Kwa hiyo
Riba kwa siku 365 = Tsh10,000 x 25% = Tsh2,500
Jumla ya Marejesho = Tsh 10,000 + Tsh 2,500 = Tsh 12,500

Usalama
Taarifa za mteja ni salama kabisa kwetu. Hatutoi taarifa ya mteja kwa wahusika wengine.

Wasiliana nasi
Namba ya simu: +255699997188
Barua pepe ya huduma kwa Wateja: support@hewamkopo.com
Anwani: Dar es salaam, Tanzania.
Ažurirano dana
12. maj 2024.

Sigurnost podataka

Sigurnost počinje razumijevanjem na koji način programeri prikupljaju i dijele vaše podatke. Privatnost podataka i sigurnosne prakse se mogu razlikovati ovisno o korištenju, regiji i dobi. Programer je pružio ove informacije i može ih s vremenom ažurirati.
Podaci se ne dijele s trećim stranama
Saznajte više o načinu na koji programeri pružaju izjavu o dijeljenju
Ova aplikacija može prikupljati ove vrste podataka
Lokacija, Lične informacije i još 7
Podaci su šifrirani u prijenosu
Možete zatražiti da se podaci izbrišu

Ocjene i recenzije

4,4
2,24 hilj. recenzija