Programu ya kisayansi ya kutoa mafunzo ya Sayansi ya Wanyama kuhusu wanyama wa shambani, wanyamapori, wanyama wa maabara, wanyama wa kipenzi na wanyama wa zoo.
Pia, Programu yetu inapatikana sambamba na tovuti yetu maalum ya animalcience.care. Utakuwa na uwanja mpana wa kujifunza na kutoa maoni na maswali kupitia sehemu ya Maoni.
Zaidi ya yote, tunakualika ujifunze, uelimishwe katika ufugaji wenye tija kibiashara.
Mawasiliano.
Barua pepe: agrotanzania.care@gmail.com
WhatsApp: 0762 799 080.
Tovuti: www.animalscience.care
NB. Pamoja na mahitaji ya kutengenezwa Programu ya Android, Blogu na Tovuti.
Wasiliana nasi kupitia mawasiliano tajwa hapo juu.
Ilisasishwa tarehe
2 Okt 2023