Pakua miziki katika muundo MP3

Ina matangazo
4.3
Maoni elfu 3.78
elfu 100+
Vipakuliwa
Daraja la maudhui
Miaka 3 kwenda juu
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini

Kuhusu programu hii


Mfumo mwepesi na wa haraka wa kupakua aina zote za miziki uliotengenezwa na kuborshwa na Cagluco Investments na http://jamendo.com
programu inakuruhusu kusikiliza mtandaoni na kupakua wimbo wowote HAITUMIKI KATIKA MASUALA YA BIASHARA! TOLEO LOTE linakupa uwezo wa kufanya mambo mengi, kama vile: kubadilisha sauti utakavyo, mp3 tag editor, kuhariri miito ya simu, kuongeza sauti, kubadili aina ya muziki, kicheza muziki chenye sifa zote, kurekodi sauti, na mengine mengi.



Katika sifa kuu:

★ Miziki iliyowekwa katika makundi, kulingana na aina yake kwa kufuata muongozo, vyombo ,hisia. Aina zote, kama vile, Pop, Rock, Rap, RnB, Dubstep, Drum, vifaa vyote, kama gita, kinanda, fidla, ngoma, kuunganisha miziki, saksaoni na mengine mengi, inayopatokana katika mfumo mwepesi wa kutafuta Please, tafadhali angalia picha kwa maelezo Zaidi.
★  Uwekaji bora wa data, miziki aina ya Mp3 zaidi ya million moja. Moja kati ya programu yenye nafasikubwa za kuhifadhi miziki ya bure.
★ Nyimbo zote zimethibitishwa na zinapatikana kwa matumizi binafsi (siyo kwa matumizi ya kibiashara!).
★ mashairi ya wimbo yanapatikana kama wimbo huo sio mdundo.
★ Ni yenye uharaka, imara na kuweza kupakua miziki mfululizo.
★ Uwepesi wa kutafuta miziki (unaweza tafuta kwa, muziki, jina la msanii, albamu, aina, midundo, hisia, umaarufu na kadha wa kadha). Tafadhali, angalia picha kwa maelezo zaidi.
★ utatafuta muziki wa kila radha na wa aina yoyote ukiwa na programu yetu.
★ utapakua kirahisi sana miziki ya Mp3!
★ Unaweza tafuta kwa kutumia sauti kiurahisi zaidi!
★ Utapata kicheza muziki chenye nguvu zaidi.
★ Uwezo wa kubadili mapigo ya sauti bora zaidi.
★ kupangilia alamu, miito ya sauti, arifa kwa kutumia uwezo wa kukta miziki. Kuhariri miito ya simu.
★ Badili miundo mbali mbali ya muziki kwa kutumia algorithm. Music format converter.
★ Programu inaweza kutafuta mashairi ya wimbo yaliyoandikwa.
★ kubadili muonekano wa UI (rangi, picha ya nyuma, muonekano wa mafaili, listi chezwa, albamu, wasanii).
★ Uwezo wa kuhariri lebo ya muziki.
★ Uwezo wa kurekodi sauti.
★ Urahisi wa kufanya mipangilio, karibia kila kitu kinapangilika.
★ uwezekano wa kufanya backup. Unaweza kuchukua backup ya miziki yako pendwa inayohifadhiwa mtandaoni.



Programu yetu imekusanya miziki ziadi ya milioni moja kutoka ulimwenguni kote. Hautamkuta msanii yeyote maarufu hapa, badala yake, tunatoa mkusanyiko maarufu wa wasanii. Ambao, hawajatambulika bado. Wape nafasi, jaribu muziki ambao hauchezwi katika redio na televisheni SASA. Miziki ina ubora ha hali ya juu, nyimbo zote ni bure kabisa. Unaweza kuisikiliza na kupakua bure (sio kwa matumizi ya kibiashara, kama unataka muziki wowote kwa matumizi ya kibiashara tafadhali tembelea http://jamendo.com tovuti, ambayo inatoa data kwa ajili ya programu yetu, na ununue kibali kwa ajili ya biashara). Hivyo, pakua miziki sasa na uburudike



P.S.
Programu hii ni bora, inakufanya uwasikilize wasanii wanaojitegemea. Inaongeza ubunifu na kuhamasisha wasanii pamoja na wapenzi wa muziki.
This Application is the best You can get to listen independent artists. It maximizes creativity, and inspires musicians and music lovers.

Ilisasishwa tarehe
13 Mei 2024

Usalama wa data

Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Programu hii huenda ikashiriki aina hii ya data na watu wengine
Mahali, Utendaji na maelezo ya programu na Kifaa au vitambulisho vingine
Hakuna data iliyokusanywa
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha ukusanyaji wa data
Data inasimbwa kwa njia fiche inapotumwa
Data haiwezi kufutwa

Ukadiriaji na maoni

4.4
Maoni elfu 3.7

Mapya

Fixed some bugs