Doctor Mimea ni aplikesheni itakayokuwezesha katika :-
- Utambuzi wa Magonjwa
Doctor Mimea inakuwezesha wewe mkulima kutambua magonjwa ya mazao yao na solution namna ya kudhibiti magonjwa kwenye mimea kwa kutoa aina ya dawa ambayo itumike kwaajili ya kudhibiti ugonjwa.
- Mijadala ya wakulima
Mkulima anaweza kupata ufafanuzi zaidi kuhusu magonjwa au changamoto anazokutana nazo kwenye mimea yake kwa kuuliza wakulima wenzake waliopitia changamoto kama yake.
- Duka La Vifaa na Mimea
Doctor mimea inakurahisishia upatikanaji wa urahisi wa pembejeo za kilimo, mbegu na mbolea, wakulima wanaweza kununua kwa urahisi na uhaminifu, bidhaa zote niza viwango vya hali ya juu.
-Soko
Doctor mimea inarahisisha kwa wakulima kuweza kuuza mazao yao kirahisi zaidi kwa wateja, na wateja wanaweza kujua kirahisi bei za kununulia mazao. Pia itasaidia wakulima kuuza bidhaa kirahisi.
Ilisasishwa tarehe
18 Jan 2024