Kituo hiki cha LMS kimetolewa mahususi kwa wanachama wa ADPS. Kwa kituo hiki, ni matumaini kuwa kila mwanachama ataweza kuongeza kiwango chake na umahiri wake katika kusimamia miradi. Kila nyenzo itaendelea kuongezwa na kusasishwa
Ilisasishwa tarehe
31 Jul 2024