Ladytimer ni kikokotoo cha bure kinachofuatilia uovishaji na hedhi na kutabiri siku za mzunguko wa hedhi, kinasaidia wanawake kupata ama kuzuia kupata mimba.
* Kifualitizi rahisi kutumia
* Michaguo katika kalenda ya uovishaji: dalili, hisia, Uzito, na kadhalika
* Hedhi, Uovishaji na vikumbusho vya uchunguzi wa matibabu
* Kalenda ya uzazi yenye chati ya joto
* Historia ya hedhi
* Gumzo na ujumbe wa moja kwa moja
* Shiriki habari za kalenda yako na daktari wako au mpezi wako
* LadyCloud ninahifadhi na kuambatanisha habari yenyewe
* Kitumizi cha Uovishaji kinaweza hamiswa kwenye simu yoyoye ya smartphone
* Kikumbusho cha tembe za kupanga uzazi
* Chapisha kalenda ya uovishaji ya bure
* Video za elimu ya uzazi
* Tarihi binafsi
kuezesha kila mwanamke kufuatilia mwanzo wa hedhi kila mwezi. Baada ya hapo kifuatilizi kina kuhesabia mzunguko wa siku za hedhi. Ingiza kiwango cha joto ya mwili asubuhi kwa usahihi wa kufuatilia uzazi. Kitumizi kitaitumia kuhesabu uovishaji. Bonyeza na ufuatilie dalili , hisisa, maelezo, uzito, ngono, vipimo vya uovishaji,na kadhalika kila siku . Zungumza na watumiaji wengine wa Ladytimer.
Kalenda yako ya hedhi inaweza hifadhiwa kwa mtandao na kutumwa kwa simu yoyote smati inapohitajika.Usiwahi poteza habari zako unapobadilisha simu.lady cloud itaziambatanisha yenyewe kwa niamba yako.Ni rahisi kugawa habari zako na dakitari au mpenzi wako. Usiwahi poteza data unapobadilisha simu zako. chagua habari ambazo ungependa kushiriki.
— Ladytimer ndio kalenda ya hedhi iliyoendelea zaidi —
Ilisasishwa tarehe
4 Ago 2025