Simplify ni programu iliyoundwa kumwezesha mfanyabiashara, mtoa huduma au kampuni kuandaa na kutoa anakara za kodi kidigitali kupitia simu, kompyuta au kifaa chochote chenye uwezo wa intaneti. Mfumo huu unaokoa muda na gharama za ziada za kua na kifaa cha ziada.
Moja ya kati ya bidhaa za Simplify ni Simplify VFD mfumo uliounganishwa na mifumo ya usimamizi wa takrimu za fedha za TRA unaomwezesha mtoa huduma au mfanyabiashara kutoa risiti halili za EFD kupitia simu yake ya mkononi, kompyuta yenye uwezo wa intaneti popote ulipo.
Sifa za "Simplify VFD" ni pamoja na uwezo wa kuunda na kutoa ankara za kodi wakati wowote na mahali popote, utumaji wa Z-ripoti kila siku, nakala za ankara zako zinahifadhiwa katika akaunti yako na unawezo wa kupakua wakati wowote.
Programu hii inafanya mtumiaji kusimamia mauzo na rekodi za mauzo yake ya kila siku, kila wiki hadi mwaka na kupakua ripoti hizi.
Maelfu ya wafanyabiashara, watoahuduma na makampuni wanaiamini "Simplify" katika shughuli zao, huku wakizingatia sheria na kanuni za kodi katika ukuaji wa biashara zao
Ilisasishwa tarehe
22 Sep 2025