Angalia sera ya Metadata na mwongozo wa Kituo cha Usaidizi ili kuepuka matatizo ya kawaida kwenye ukurasa wa programu yako katika Google Play. Kagua sera zote za mpango kabla ya kuwasilisha programu yako.
Iwapo unastahiki kutoa ilani ya mapema kwa timu ya ukaguzi wa programu, wasiliana nasi kabla ya kuchapisha ukurasa wa programu yako katika Google Play.
Ilisasishwa tarehe
28 Mac 2025