4.3
Maoni elfu 3.02
1M+
Vipakuliwa
Daraja la maudhui
Miaka 18 kwenda juu
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini

Kuhusu programu hii

Programu ya kubashiri ya SportPesa Kenya inakupa uzoefu bora wa kuweka bashiri kwenye mechi zako pendwa. Inasoma haraka na unaweza kutembea kwa urahisi kutoka ukurasa mmoja hadi mwingine.

Programu ya kubashiri ya SportPesa ni bora, inakupa odds bora Zaidi, bonasi, chaguo la Cash Out, Mega Jackpot, nafasi ya kutabiri ikiwa mchezo utamalizika kwa ushindi wa moja kwa moja, sare, au mabao zaidi ya mstari uliopewa. Unaweza pia kucheza kwenye pembe au alama za kadi.

Pata odds na ucheze kwenye masoko yote ya michezo ya kubashiri iwe ni kwenye Ligi Kuu ya England, La Liga, Serie A au ligi nyingine yoyote duniani.

Unayo chaguzi nyingi za masoko ya kuchagua na nafasi ya kutabiri ikiwa mchezo utamalizika kwa ushindi wa moja kwa moja, sare, au mabao zaidi ya mstari uliopewa. Unaweza pia kucheza kwenye pembe au alama za kadi.
Chagua michezo mingine kama mpira wa kikapu, tenisi, wavu, mpira wa mkono, ngumi, hoki ya barafu, raga, sanaa ya mapigano, kriketi, na mpira wa besiboli.

Michezo mingine ni pamoja na mpira wa miguu wa Marekani, michezo ya magari, na hata michezo ya elektroniki kutoka ligi zote na mashindano makubwa ulimwenguni, kuanzia UEFA Championship hadi Europa, Copa del Rey, Copa Italia, AFCON, Carabao hadi Kombe la Dunia. Weka bashiri zako.

Jinsi ya kutumia programu ya kubashiri ya SportPesa?
• Jisajili na nambari yako ya Safaricom au Airtel.
• Ingia kwa urahisi kwenye akaunti yako; weka pesa kutoka Mpesa au Airtel Money.
• Chagua michezo yako na cheza kwa urahisi na kutoa ushindi wako mara moja bila usumbufu.

Programu inakupa takwimu za moja kwa moja na nafasi kubashiri michezo ya kasino na virtual pia.

Jaribu bahati yako na Nambari zetu za bahati kila siku. Pakua na ucheze leo.

Jackpot zetu ni za kipekee kwani zina malipo yanayohakikishiwa mara tu unaposhinda. Tunayo Jackpot ya katikati ya wiki na Mega Jackpots tano mwishoni mwa wiki. Shinda kubwa.

Kucheza Michezo kwa Kuwajibika
SportPesa Kenya ni tovuti ya kubashiri michezo ya mtandaoni na imejitolea kuhamasisha kubashiri kwa kuwajibika. Ni marufuku kwa watu walio na umri wa chini ya miaka 18 kucheza michezo ya kubashiri.

Kudhibiti uchezaji kamari
Kumbuka;
Weka bashiri na pesa ambazo unaweza kumudu kupoteza
Zingatia muda unaotumia na pesa unazotumia kubashiri
Kubashiri michezo inafaa kustarehesha na si kuonekana kama njia ya kupata pesa au kuepuka kupata hasara

Huduma za malipo yetu zimeegemezwa kwenye huduma za pesa za simu. Kisheria, mtu anayetaka kujisajili kwenye huduma hizo za pesa za simu, lazima awe na umri wa miaka 18 na zaidi na awe na kitambulisho sahihi. Malipo ya kutumia cheki au pesa taslimu, huwa tunahitaji uthibitisho wa umri kupitia kitambulisho.

Tuandikie barua pepe kwa care@ke.sportpesa.com ili kuomba kufungiwa akaunti yako kwa muda fulani ambao ungependelea.

Kwa maelezo zaidi, bonyeza hapa https://www.ke.sportpesa.com/responsible_gaming au tupigie simu kwa nambari: 07079079079 au tembelea https://responsiblegambling.or.ke/ kwa msaada wa kuzuia na kutibu tatizo la kubashiri kwa michezo.
Ilisasishwa tarehe
28 Apr 2024

Usalama wa data

Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Hakuna data inayoshirikiwa na wengine
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha kushiriki data
Programu hii huenda ikakusanya aina hizi za data
Taarifa binafsi na Faili na hati
Data inasimbwa kwa njia fiche inapotumwa
Unaweza kuomba data hiyo ifutwe

Ukadiriaji na maoni

4.3
Maoni elfu 3

Mapya

Tumeongeza vipengele vipya kwenye programu yetu ya Sportpesa