Jiunge na maelfu ya Wakristo ulimwenguni wenye uzoefu mkubwa wa Imani iliyo ya kweli katika kukuza na kuendeleza Imani yako katika Kristo kwa kutumia Aplicación hola.
Aplicación hola inakuweza/itakuwezesha kufanya yafuatayo;
1. Kujifunza namna njema ya kusali/kuomba sala/maombi yenye mafanikio katika maisha yako ikiwepo kuombea mambo mbalimbali kama vil:- ✔Ndoa/Mahusiano ✔Kazi ✔Msamaha ✔Masuala ya kifedha ✔Uponyaji ✔Nguvu za giza na mengine mengi.
2. Kujifunza visa mbalimbali vya Biblia vitakavyoweza kukusaidia kukua kiroho na kiimani.
3. Kujifunza unabii na maana ya aya/mafungu mafungu katika Biblia.
4. Kujifunza mafundisho mbalimbali ndani ya Biblia kama vil: - ✔Uponyaji ✔Upendo ✔Msamaha ✔Ufufuo ✔Ndoa/Mahusiano ✔Imani nakadhalika
5. Kujifunza namna ya kufanya ibada inayokubalika mbele za Mungu.
Mbali na hayo yote Aplicación hii inakupatia / itakupatia nafasi ya kupata nyimbo zote za vitabuni (nyimba za ibada) kama vil: - ✔Nyimbo za Injili ✔Tenzi za Rohoni ✔Nyimbo za Wokovu ✔Nyimbo za Ibada ✔Mwimbieni Bwana ✔Nyimbo za Kristo ✔Nyimbo za Imani Yetu ✔Nyimbo za Wasanii Mbalimbali
APLICACIÓN VIPENGELE MUHIMU KATIKA HII; 1. Sala na Maombi 2. Ibada Kila Siku 3. Visa vya Biblia 4. Gunduzi Muhimu 5. Unabii 6. Nyimbo za Ibada 7. Mafundisho ya Biblia
NOTA: Aplicación hii ni mahususi na maalum kwa Wakristo wote ulimwenguni. Pakua App hola na ujifunze ukuu wa Mungu katika maisha yako ya kila siku.
Actualización
24 feb 2024
Salud y fitness
Seguridad de los datos
arrow_forward
El primer paso de la seguridad es comprender cómo los desarrolladores recopilan y comparten tus datos. Las prácticas de privacidad y seguridad de datos pueden variar en función del uso de la app, la región y la edad. El desarrollador proporcionó esta información y podría actualizarla con el tiempo.
Esta app podría compartir estos tipos de datos con terceros
Ubicación, Fotos y videos y 2 más
No se recopilan datos
Más información sobre cómo los desarrolladores declaran la recopilación