Afyachap ni programu ya simu inayowasaidia watumiaji kukutana na madaktari wanaoweza kuwasaidia. na masuala ya afya, kuna sehemu ya watumiaji/wagonjwa kuzungumza na daktari kwa mashauriano pia kuna makala kuhusu afya, lishe na utimamu wa mwili.
Ilisasishwa tarehe
1 Jun 2024