APPLICATION INA VITU VIFUATAVYO:
• Mafunzo yenye ufanisi na yanayochangamsha.
• Chemshabongo makini.
• Maswali mbalimbali yanayofikirisha
• Ufafanuzi mzuri.
• Shindana
• Maelezo ya kujitosheleza.
• Tafuta alama
• Makundi mbalimbali ya alama kwa faida yako.
• Majibu haraka
• Matokeo yako huoneshwa kitaalam.
• Alama na michoro yote ya barabarani (655).
• Chemshabongo isiyo na ukomo.
• Hakuna matangazo.
• Tumia na familia.
• Picha zenye ubora wa hali ya juu.
• Michoro nadhifu.
• Huduma kwa wateja kupitia barua pepe.
• Bora kabisa kwa masomo ya leseni ya udereva.
Chanzo: Maelezo yametolewa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano.
Application bora kuliko zingine zote zinazohusu usalama barabarani.
Masomo mema!
আপডে’ট কৰা তাৰিখ
২১-১০-২০২২