Nyimbo Za Kristo

4,8
496 anmeldelser
50 t+
Downloads
Indholdsklassificering
Alle
Screenshot
Screenshot
Screenshot
Screenshot
Screenshot
Screenshot
Screenshot
Screenshot

Om denne app

Nyimbo za Kristo ni program inayojumuisha mkusanyiko wa nyimbo 220 kutoka katika kitabu cha Nyimbo za Kristo cha kanisa la Waadventista Wasabato kwa lugha ya Kiswahili kama kilivyohaririwa na kuchapwa na TANZANIA ADVENTIST PRESS (TANZANIA ADVENTIST PRESS).
Programmer hii imeandaliwa kukuwezesha kumwamudu Mungu kwa njia ya uimbaji mahali popote na muda wowote, Nyimbo za kuburudisha, kutia moyo na kukufariji wakati wa huzuni.



Sifa za program ni kama zifuatazo:-

• Inahusisha eneo la utafutaji ambapo unaweza kutafuta wimbo kwa namba au kwa
neno unalokumbuka liwe jina la wimbo kwa Kiswahili, kwa kiingereza au maneno
yaliyo ndani ya wimbo.

• Inakuwezesha kuweka nyimbo unazozipenda katika orodha tofauti na hivyo kuupata
kwa urahisi wakati mwingine, pia unaweza kuuondoa bleg unapoona inafaa.

• Inakuwezesha kuona nyimbo kwa makundi.


• Inakuwezesha kufuatilia wimbo kwa njia ya ala za suti (tak til hymnserve.com for
akkompagnementerne).

• Inakuwezesha kucheza ala ya wimbo hata usipokuwa kwenye programu

• Inakuwezesha kuona wimbo unaocheza

• Inakuwezesha kukuza ukubwa wa maandishi wa maneno ya wimbo kadri unavyoona
inafaa.

• Inakuwezesha kuona wimbo uliofunguliwa mara ya mwisho kwa kuuangaza.

• Inakuwezesha kushiriki maneno ya wimbo na ndugu jamaa na marafiki kwa urahisi.

• Inakuwezesha kubadili muonekano wa programu unaofaa katika mazingira ya
Mwanga au Giza ili kuwezesha uono usioumiza macho.
Programmet er imeandaliwa til kutengenezwa til Justin Diva til Godfrey Diva kwa
udukufu wa Mungu.
Opdateret
19. nov. 2023

Datasikkerhed

For at du kan beskytte dine data, er det vigtigt at sætte sig ind i, hvordan udviklere indsamler og deler disse data. Databeskyttelses- og sikkerhedsprocedurer kan variere afhængigt af din brug, din region og din alder. Udvikleren har leveret disse oplysninger og kan løbende opdatere dem.
Der deles ikke data med tredjeparter
Få flere oplysninger om, hvordan udviklere angiver, at de deler data
Der blev ikke indsamlet data
Få flere oplysninger om, hvordan udviklere angiver, at de indsamler data

Bedømmelser og anmeldelser

4,8
481 anmeldelser

Nyheder

Imeongeza ufanisi..