Pata habari za michezo kupitia app hii ya michezo, makala na uchambuzi wa mechi, Kuwa wa kwanza kujua na kufahamu kwa undi zaidi habari za usajili wa yanga, simba na usajili ulaya.
Kupitia app hii utakua wa kwanza kujua matokeo ya mechi zilizochezwa na misimamo ya ligi za ndani na nje ya Tanzania
FUNKTIONER:
• Automatisk opdatering og meddelelser
• Stryg til venstre/højre for at navigere gennem artikler
• Del artikler via sociale medier