Ni App ambayo inatoa elimu juu ya ufugaji wa kuku aina zote kitaalamu
Kupitia App hii utapata maelekezo rahisi na sahihi ya kutatua changamoto mbalimbali za ufugaji kuku ,ikiwemo Malezi ya vifaranga, ujenzi wa banda sahihi, Magonjwa , chanjo, vyakula vya kano
Kupitia App ist kuuliza maswali kwa mtaalamu wa Kuku na utajibiwa moja kwa moja kupitia, Instagram, Twitter, Facebook, YouTube na Simu ya maongezi.
Aktualisiert am
26.05.2024