InfoTaaluma Mzazi App und Programm Inayomsaidia Mzazi Kufuatilia Maendeleo Yote ya Mtoto Wake Kutoka Shule Mahudhurio Ya Darasani, Matokeo Ya Mitihani, Ripoti Za Mihula
Maendeleo ya mwanao ya kiganjani mwako \n Pata Mahudhurio yake, Matokeo ya mtihani, ripoti za mihula, Namba za walimu wake, Ratiba yake ya darasani na Kujipima kwa mwanafunzi kupitia mazoezi nakuangalia malipo na kulipa michango shuleni kwa urahisi.